Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

Hiki ni kichekesho

Google Adsense hawawezi kumlipa kiasi hicho.

Tena Audience yake ni wabongo,RPM yake itakuwa ndogo sana
 
Kwanza kabisa nikupe hongera Millard ayo kwa kazi nzuri unayofanya ya uandishi wa Habari. Wewe una kipaji kikubwa sana.

Presenter millard Ayo ndio anayetajwa kuwa mtu anayepokea royalities za You tube nyingi zaidi baada ya Diamond Platnumz katika nchi ya Tanzania, hii ni kutokana na viewers na subscribers wa channel zake ambapo kwa mwezi malipo yake huwa yana range mil 50 hadi 80 kutokana na idadi ya viewers, diamond anarange 80mil-130mil kwa mwezi.

Kwakweli nimpe hongera kwani ameajiri vijana wengi(zaidi ya 10) ktk online TV yake.
Vijana nawaasa muwe wabunifu kama millard na mtafanikiwa sana. Millard ayo tunatarajia kuona mambo zsidi kutoka kwako, ikiwezekana ufungue kituo cha radio na television kwani una mashabiki wengi.

Wengine wanaovuna mkwanja mkubwa you tube ni global tv, harmonize, rayvanny. Actually hata wasanii ambao sijawataja nao wanapata pesa nyingi tu.

Thanks
Acheni kuwapotisha vijana na wasiojielewa.. kwa kipato hicho ansingekuwa anasaini kila siku jioni kwa Ruge (Clouds) na kusubiri mshahara Mwisho wa mwezi.. kwa ufupi hiyo faida hata clouds hawaingizi kwa mwezi
 
Millard Ayo anajituma sana katika kazi yake, ni haki yake kula huo mkwanja habari yoyote ile ukiisikia tetesi tetesi... Ukienda millard ayo. Com lazima utaikuta... Big up broo acha sisi tuendelee kulala tukisubiri increment kwa Magu sijui mwaka gani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa na wale wanaotuambia tufunge kuku 10 au tulime matikiti, bila kutuambia soko lipo wapi.
 
nadhani habari anazotangaza pia zipokwenye blog yake, so kuandaa kuna serve both kazi yakebinafsi na kazi ya clouds, halafu promo hainaga mwisho inahitajika tu, fikiria voda wanafanya promo zote hizo kwenye tv, radio na blogs, mabango, ligi kuu japokuwa wanafahamika na wanaweza kutuma sms pia
Ungempa mfano wa kokakola.
 
Watanzania bwana kwa uongo?? Hizi story peleka kwa wajinga wenzako kwanza policy za YouTube hawaweki wazi hata siju moja pesa ngapi wanalipa hawa ma YouTube stars Sasa wewe hizo data umezitoa wapi???
 
Viewers 1000 wanalipa 0.5 USD ..piga hesabu viewers 1m kiasi gani..simple math
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom