Natafuta kazi

Natafuta kazi

idriss masoud

Member
Joined
Jul 23, 2017
Posts
6
Reaction score
20
Habari za uzima wana jamiiforum, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,
nimehitimu shahada ya Elimu chuo kikuu cha dar es salaam, masoma ya sanaa (GEOGRAPHY NA HISTORY). Natafuta nafasi ya ufundishaji wa masomo hayo kwa level yoyote ya elimu, nipo Dar es salaam.
kwa mawasiliano, 0752463715 au 0688441010.
 
Habari za uzima wana jamiiforum, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,
nimehitimu shahada ya Elimu chuo kikuu cha dar es salaam, masoma ya sanaa (GEOGRAPHY NA HISTORY). Natafuta nafasi ya ufundishaji wa masomo hayo kwa level yoyote ya elimu.
kwa mawasiliano, 0752463715 au 0688441010.
Una shilingi ngapi nikufanyie connection?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom