Shirika sio la muungano.
Zanzibar nao wana shirika lao huko, linalofanya kazi sawa na la huku bara. Wao wameajiriwa la huku bara wakati nao kule kuna shirika lao.
Meza unayotikisa ina vinywaji vya gharama sana!
Mwaka juzi nilipata ajira kwenye shirika fulani la umma, kuna vijana wengi sana wa kizanzibari tuliajiriwa nao. Lakini kule Zanzibar nao wana shirika lao kama hilo linalojitegemea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.