Recent content by iddy eba

  1. iddy eba

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mshukiwa wa mauaji ya Rwanda kusikilizwa ICC Septemba 29

    Miaka 87 unampa adhabu gain?
  2. iddy eba

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutosikia vizuri na body balance

    Hapana mkuu sikufanikiwa
  3. iddy eba

    JamiiForums Tanzania How I Met My Wife

    Oyoooo
  4. iddy eba

    JamiiForums Tanzania How I Met My Wife

    Hivi mnaichukuliaje Hollywood?? Kila story nzuri humu mnasema level za Hollywood au iandikiwe kitabu kiuzwe online. Ni rahisi hivyo?
  5. iddy eba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

    Nima Imma, Shukrani sana mkuu
  6. iddy eba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

    Asante kaka kwa moyo wako. Hatua ya kujitoa uhai ni kubwa sana sidhani kama nitafika huko. Nitakutafuta IshaAllah
  7. iddy eba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

    Hearing loss mkuu, sisikii vizuri
  8. iddy eba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

    Thank you sister, Asante sister. Tunadharauliwa sana yani, lets prove them wrong
  9. iddy eba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

    Inauma sana dadangu, Napitia maisha kama yako
  10. iddy eba

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Unaonaje hii iwe ndio special thread yako mkuu, kama kuna mada au story yoyote unaweka tu hapa hapa
  11. iddy eba

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Biriani hii hii ya Mariamu?
  12. iddy eba

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Sio kwamba alikuwa busy sana au offline, Watu wengine tunapenda kusoma tu nyuz then basi labda tunalike tu. Kucomment labda nyuzi ikuguse sanaaa kama hii ya mzee wetu JBourne59, so mkuu usimshangae sana Mswati Original
  13. iddy eba

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ma Maini mazima ya kazi gani?
  14. iddy eba

    JamiiForums Tanzania Makufuli yafungwa darajani, funguo yatupwa baharini kutunza ndoa

    Nitaenda weka langu daraja la kigamboni pale
Back
Top Bottom