Kesi ya mshukiwa wa mauaji ya Rwanda kusikilizwa ICC Septemba 29

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,021
1,608
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu imepanga kuanza kusikiliza Kesi dhidi ya Félicien Kabuga (87) anayetuhumiwa kwa uchochezi wa mauaji ya halaiki na uhalifu dhidi ya binadamu

Alifikishwa Mahakamani leo kwa Mara ya kwanza tangu akamatwe Nchini ufaransa mwaka 2020

Anadaiwa kutumia ushawishi wake kuhamasisha mauaji hayo kwa kuwa alikuwa Rais wa Kituo cha redio cha Radio Television Libre des Mille Collines, ambacho kilirusha matangazo ya wito wa kuuawa kwa maelfu ya Watutsi

Mauaji mwaka 1994 nchini Rwanda yalisababisha mauaji ya Watutsi 800,000 na maelfu ya Wahutu wenye msimamo wa wastani

==========

The trial of a former businessman suspected of being one of the masterminds behind the genocide in Rwanda will start on 29 September, a court has ruled.

Eighty-seven-year-old Félicien Kabuga appeared at a court in The Hague for a pre-trial hearing.

He was detained in France two years ago after escaping arrest for more than two decades.

In the 1990s, Mr Kabuga was president of the radio station Radio Television Libre des Mille Collines, which broadcast calls for the killing of Tutsis.

He stands accused of genocide, incitement to commit genocide and crimes against humanity.

He will be tried in a court that is the successor to the International Criminal Tribunal for Rwanda, which finished its work in Tanzania in 2015.

The 1994 genocide in Rwanda led to the killing of 800,000 Tutsis and thousands of moderate Hutus.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom