habar .kuna baadhi ya watu majina yetu yapo kwenye link ya TCU Tumechaguliwa vyuo lakin tukiangalia kwenye list ya majina chuoni hatupo .mfano mm TCU wamenionesha nimechaguliwa UDOM lakin kwenye main a yaliyopo chuon sipo. itakuwaje ? je tutapokelewa? TCU au chuo husika wanasemaje?
habari . naomben ushauri wenu ,round ya kwanza niliomba TCU UDSM, DUCE,MUCE, UDOM Nikakosa , round ya pili cjaomba tcu nilienda MUM kuomba chuo direct mum wakanichagua , jana tcu wameonesha vyuo na faculty tulizochaguliwa .nimeangalia TCU wamenichagua UDOM bach of arts with education. naomben...
habari . round ya 1 nilikosa .round ya 2 niliomba TCU halaf nikafuta program zote kwenye profile yang .nikaomba MUM direct chuon bila kupitia TCU. ss hv nikiangalia profile Yang TCU nimeandikiw you have provisionally selected. au mum wameshapeleka majina yetu TCU yamepitishwa
habari . round ya 1 nilikosa .round ya 2 niliomba TCU halaf nikafuta program zote kwenye profile yang .nikaomba MUM direct chuon bila kupitia TCU. ss hv nikiangalia profile Yang TCU nimeandikiw you have provisionally selected. au mum wameshapeleka majina yetu TCU yamepitishwa
siku hiz ni science na technology . ukipiga sim unajulikan upo wap na ukitaja index no tu matokeo yako ,jina lako,shule wanajua na huwez kuwadanganya wanathibitisha on line particular unazotaja zinaendana na zinazoonekana kwenye computer system. ukichaguliwa unawapelekea copy original na vyeti...
Maombi yana anza chuoni halaf yanapelekwa na chuo TCU kupitishwa. ingekuwa hayapitii TCU wanafunz wasingepew mkopo na boom ya serikali . na TCU wanajua process za mum
Habari Wana-Jukwaa!
Naomba msaada wenu mtueleweshe kuhusu Direct Cost vyuoni. Zinalipwa zote kwa pamoja siku hiyo hiyo tutakapofika vyuoni?
Maana vyuo vingine Direct Cost wameandika Tsh. Milioni 2.8 kwengine Tsh. milioni 3
Je zinalipwa zote siku hiyo hiyo au unaweza kulipa nusu? Ahsante
Hakika mungu analipa hap hap dunian. unawezaje kuwatukan maskin kisa hawana uwezo wa kuwasomesha watoto wao. hiv unajua kwamba kuna watu hata mlo mmoja kwa cku unapatkana kwa shida. mungu anakuona
kwa wale mliokosa first round TCU kuwen wavumiliv TCU wafanye kaz zao kwa umakin sio kaz rahisi kuwapanga wanafunzi .tunatarajia wiki ijayo selection zitatoka na kila aliyeomba atalidhika na matokeo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.