Jumuiya ya vijana wa chama cha Wananchi CUF(JUVICUF) imepokea mualiko wa kuhudhuria mkutano mkuu wa baraza la vijana la Chadema Taifa (BAVICHA) unao tarajiwa kufanyika tarehe 09/December/2019
Kwa kuzingatia umuhimu wa tukio hilo JUVICUF tumethibitisha na kukubali kuhudhuria mkutano huo muhimu...
Baraza Kuu limeguswa na yaliyomo ndani ya Kitabu Cha Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu BENJAMIN WILLIAM MKAPA ikiwemo uhitaji wa Tume Huru ya Uchaguzi, kusononeshwa kwake kadhia ya mauwaji ya tarehe 26-27, January 2001.
Ili kuthibitisha alichokisema katika kitabu chake, Baraza Kuu linamtaka Mhe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.