Prof. Lipumba: Tunamtaka Mkapa aungane na CUF kuhimiza utekelezaji wa mapendekezo ya Tume huru

Idd Mkanza

New Member
Nov 23, 2019
4
0
FB_IMG_1574405340521.jpg

Baraza Kuu limeguswa na yaliyomo ndani ya Kitabu Cha Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu BENJAMIN WILLIAM MKAPA ikiwemo uhitaji wa Tume Huru ya Uchaguzi, kusononeshwa kwake kadhia ya mauwaji ya tarehe 26-27, January 2001.

Ili kuthibitisha alichokisema katika kitabu chake, Baraza Kuu linamtaka Mhe. Mkapa aunangane na Chama cha Wananchi CUF kuhimiza utekelezwaji wa mapendekezo ya Tume huru
 
Hivi inaruhusiwa kisheria kwa mfano ahame?
View attachment 1270083

Kumbe yalikuwa mapendekezo tu, sasa ugomvi wa nini professor?
 
Mahusiano ya Mkapa na Lipumba wakati akiwa Rais ni sawa na sasa hivi Mahusiano ya Zitto na JPM

Mahusiano yao ndani ya Siasa na nje ya Siasa yapo sawa
 
Ni wazo zuri na Mkapa amuunge mkono Lipumba, kama Lipumba alivyomuunga mkono Mkapa kwa kunywa chai pamoja
 
Back
Top Bottom