Recent content by idawa

 1. idawa

  Mkuu wa Wilaya Sumbawanga aagiza kung'olewa bendera zote za CHADEMA wilaya nzima

  Unajua hilo Jimbo linaongozwa na chama gani, na ujinga wa wananchi wa huko uko wapi.?
 2. idawa

  Awamu hii Spika wa Bunge ni kama Mlinzi wa Rais au Sekretari wa Rais

  Ndugai anaangalia ubunge 2020, hayo mengine pigeni kelele tu.
 3. idawa

  Mkuu wa Wilaya Sumbawanga aagiza kung'olewa bendera zote za CHADEMA wilaya nzima

  Mwenye wiliya yake ndio nani, mbona madaraka yamewalevya sana.
 4. idawa

  Kikwete umejisikiaje Dr. Ulimboka alivokukatalia kwenda kumuona?

  Kigogo kitambo sana jamaa.!
 5. idawa

  Mkuu wa Wilaya Sumbawanga aagiza kung'olewa bendera zote za CHADEMA wilaya nzima

  Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa. Chanzo: Mwananchi
 6. idawa

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Hatutaki ujinga.!
 7. idawa

  Uzito wa Dr. Slaa dhidi ya demokrasia nchini Tanzania

  Sasa hivi malengo Mbowe ni kuhakikisha ruzuku haikati ndani ya CHADEMA na sio kushika dola. 2020 yupo tayari kumsimamisha mtu yoyote yule ilimradi awe na uhakika wa kupata kura za kutosha mrija wa Rizuku usikate.!
 8. idawa

  Zitto Kabwe kugombea urais 2020, aanza kampeni kabla ya wakati

  Pohamba, Kabisa hapo vita iliyopo ni ya ruzuku tu.!
 9. idawa

  Messi Vs Ronaldo,Nani mwenye wafuasi/washabiki wengi zaidi?

  Ronaldo ni Mwanamitindo, Mess ni Mwanasoka tu.
 10. idawa

  Rangi yake Sadio Mane ndiyo iliyomkosesha Ballondoir

  Bila hata hiyo rangi hastahili kuwa mchezaji bora wa Dunia!
 11. idawa

  Emu kama wapenzi wa kandanda nani mtangazaji mzuri wa mpira wa miguu tanzania kwa sasa.

  Swedi Mwinyi na Juma Nkamia hatari sana hawa watu.
 12. idawa

  Kubenea ndiye mwanaCHADEMA pekee aliyeweka wazi kutokubaliana na Mbowe

  Kubenea anajua Mengi sana ya Mbowe, toka miaka hiyo wanamsulubu Lowassa kuhusu Richimund na takataka zote... Kupitia gazeti la Mwanahalisi. Hadi Kubenea kumwagiwa tindikali
Top