Recent content by ICHIMU

  1. I

    JamiiForums Tanzania Wanachama zaidi ya 600 na viongozi wa CHADEMA Vunjo wahamia CCM

    Na bado lazima waisome namba.
  2. I

    JamiiForums Tanzania CCM dira ya Amani Afrika na ni kioo cha Afrika

    Hiki ndicho chama kikongwe barani afrika kinachosimamia haki na utu wa mwafrika.vyama vingi barani afrika vimefata misingi bora ya CCM...wanachama wake wanafata misingi ya kuheshimiana na kupendana...hawajui matusi...hawajui ugomvi....wao wamefundishwa maadili.mara nyingi CCM wanazomewa na...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mgombea mwenza kurejea CUF

    Aisee hii ni mpya.
  4. I

    JamiiForums Tanzania NCCR - Mageuzi Waongea na vyombo vya habari, Wamjibu M/Mwenyekti na K/Mkuu wake

    Huku wanachama na wapenzi wa ukawa wakijadili kuhusu hatima ya nccr,hatimae vikao vingine na vyombo vya habari vyaendelea...nini tuamini?mwenyekiti?k/mwenyekiti?katibu mkuu wa nccr?duh?
  5. I

    JamiiForums Tanzania UKAWA mnachanganya wapiga kura...

    Ukawa wabishi sana,tuliambiwa kwamba migogoro ndani ya ukawa imekwisha,mbona hapa kahama mjini vyama vyote vimesimika wagombea udiwani?ina maana kura tuzitapanye?jamani eeh!sisi wapiga kura mnatuchanganya!!!!!afu upande wa ubunge nashuhudia Chadema wamesimika jimbo la ushetu,jimbo la kahama...
  6. I

    JamiiForums Tanzania NCCR - Mageuzi Waongea na vyombo vya habari, Wamjibu M/Mwenyekti na K/Mkuu wake

    wewe mbatia siyo kamanda
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    aisee me napita tu?
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mr. Nice hoi taabani Kahama mjini

    Msanii wa kizazi kipya Mr.Nice amelazwa ktk dispensary ya Frorida mjini kahama...Ndugu jamaa na marafiki tunaomba msaada wenu kwani hata kula anakula kwa mpira na choo pia anatumia mpira..fika dispensary ya Frorida mtamkuta...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Lembeli awa bubu mkutano wa kampeni Zongomela manispaa ya Mjini Kahama

    Mgombea ubunge kupitia CHADEMA jimbo la Kahama Mjini,amejikuta akipatwa na ububu baada ya kushindwa kuhutubia ktk mtaa wa Zongomela. Inasemekana pia mitaa mingine amejikuta akikosa watu na kuingiwa na hofu kubwa kwamba hizo ni dalili za kupigwa na mtemi wa Kahama a.k.a Dangote wa Kanda ya Ziwa...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Ukawa kahama yasambaratika rasmi

    hii imetokea juzi kwenye uzinduzi wa chama cha nccr...kwenye majimbo ya ushetu na kahama....viongozi wa ukawa wamekuwa wakitupiana maneno makali,huku bwana juma protas wa chadema akionekana kuwapa kisogo nccr ....baada ya nccr kuweka mgombea jimbo la ushetu na chadema nao wakaweka...pi ktk...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini jimbo la Ushetu CHADEMA na NCCR wameweka wagombea ubunge?

    Jimbo la Ushetu Wilayani kahama lina Wagombea wanne wa vyama vya CCM, CHADEMA, NCCR, ACT. Ila kinachoninganya mimi ni kwa sisi wapiga kura ambao tunaunga mkono ukawa,je huu muungano ni huko juu tu? Kwanini huku majimboni hamuelewani? Pia nimeshuhudia viti vya madiwani vyama vyote vinavyounda...
  12. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kahama wazichapa ofisini kwao leo hii

    Ndugu wanajamvi mpaka hivi punde tuko polisi hapa mjini Kahama kufatilia vurugu hizi. Lembeli azalilishwa na kundi la vijana CHADEMA wamwambia atoke hapo ofisini kwani CDM ina wenyewe. Tutaendelea kujazana zaidi kinachoendelea.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema akiuka maagizo ya Rais wake

    wehu huo
  14. I

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atishia walemavu, Red Brigedia watwangana kudai posho

    iko powa
  15. I

    JamiiForums Tanzania Anguko kuu la CHADEMA Oktoba 2015

    Huzuni yatanda mtaani,chadema ikipigwa uchaguzi...enyi akina timu lowassa mtaziweka wapi sura zenu....najua wengi wenu mmeahidiwa madaraka...ila kifuatacho ni kushuhudia Chadema ikisambaratika...wengi wenu hamtavumilia kwenye ujenzi wa chama na lowasa wenu........
Back
Top Bottom