singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Hivi hili gazeti kwanini lisifunguliwe mashtaka kwa kupotosha umma?Akina Tundu Lissu mnasubiri nini???
Kama sio ruzuku, lingefika mahali lishindwe kuchapishwa.
Nape mwenyewe hasomagi hili gazeri kwani anajua kinachoandikwa ni uongoNani ananunuaga gazeti hili??? Labda nape tuuu. Mimi ni bora nibebe vitumbua vyangu mfukoni kuliko nikubali kufungiwa kwenye gazeti hili
Nani ananunuaga gazeti hili??? Labda nape tuuu. Mimi ni bora nibebe vitumbua vyangu mfukoni kuliko nikubali kufungiwa kwenye gazeti hili
Tuseme halifai hata kuchambia porini bora uondoke hivyo hivyo mpaka home.