CHADEMA Kahama wazichapa ofisini kwao leo hii

CHADEMA Kahama wazichapa ofisini kwao leo hii

ICHIMU

Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
58
Reaction score
12
Ndugu wanajamvi mpaka hivi punde tuko polisi hapa mjini Kahama kufatilia vurugu hizi.

Lembeli azalilishwa na kundi la vijana CHADEMA wamwambia atoke hapo ofisini kwani CDM ina wenyewe.

Tutaendelea kujazana zaidi kinachoendelea.
 
ndo CPO cdm ,maana vurugu siwezi watu hawatumii akili,ukileta wazo mbadala anambiwa we gamba.
 
LOWASA AT WORK
CCM B

Another Mrema - 1995


BY
I.brahim-u lipum.b.a
CCM B
 
hao ni mamluki walioepewa kazi maalumu ya kukivuruga chama!

asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu mwacheni afunzwe, asiyesikia la mkuu huvunjika guu, lembeli na bulaya wataikumbuka ccm siku moja, wote hawa watashindwa uchaguzi; huyo lembeli hawezi kumshinda kishimba
 
POLISI KAMATA HAO WOTE WEKA NDANI NA WAFUNGULIWE MASHTAKA MAKALI WANAJARIBU SASA KUKITEKENYA CHAMA CHETU
LISSU Fanya kazi sasa!
 
Huyu Mzee Alisha chokwa, na alijua wazi kura za maoni CCM hapiti, akaamua kuhama chama mapema, kwa hilo nampongeza. lakini nina hofu kubwa juu yake, asije kuwa kauvaa mkenge wa Mpendazoe?
 
Kwi kwi kwiii,nani asiependa mlungula.cdm mmebugi na lembeli wenu.
 
Mzee mzima kutolewa nduki na vijana,makubwa.
 
Mzee Na Mvi Akili Ndogo Kama Ya Mbowe! Atakoma Na Bulaya Wake Wataikumbuka CCM
 
Imetoka huku
 

Attachments

  • 1440171976090.jpg
    1440171976090.jpg
    67.6 KB · Views: 280
Back
Top Bottom