Dereva hatakiwi kusumbuliwa kwa namna yoyote maana akiwa ba msongo wa mawazo atasababisha ajali kwa kukosa umakini,mbona wabunge stahiki zao zikiguswa wanalalamika pamoja na kulipwa vizuri
Matamshi ni namna umeyatafsiri wewe lakini mhe lissu aliweka hamshahamsha ya kukirudisha chama kwenye uhai kuwa ni lazima tukashinde ni lazima tukiwashe ni lazima tupate ushindi siku hiyo na ni lazima taratibu za uchaguzi zifuatwe,sasa wewe na mahakam mna tafsiri yenu kwanini msitafsiri kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.