Recent content by ICDLTZ

  1. I

    Vyeti feki: Daktari Mkuu Morogoro akumbwa, ni msomi toka Urusi aliyekaribia kustaafu

    Wewe ulishasoma Urusi au unabwatuka tu na elimu yako ya desa hapa TZ . Rank za elimu ulimwnguni urusi i one of the best education nzuri sana. ha hakuna ubabaishaji . ndiyo maana wana high tech nyingi sana sana. jifunze kufanya utafiti kidogo kabla hijaandika
  2. I

    Accounting software

    Kimbale Computers and Business Consultancy (KC&BC) inakuletea Software nzuri sana kwa ajili ya ku endesha biashara yako kwa unafisi zaidi kwa kutumia technologia ya kisasa zaidi. kwa maelezi zaidi piga simu 0742-655765 au tuma E-mail kimbalecomputers@yahoo.com karibuni vyote
  3. I

    Kamishina wa TRA: Watanzania millioni 3 pekee kati ya millioni 45 ndo walipa kodi

    Mfumo wa ulipaji kodi kwa tanznaia sio rafiki sana kwa walipa kodi . mlipa kodi anaonekana kama mtuhumiwa na mfanyakazi wa tra hata akivaa tsheet ya tra anaona kama adhabu fulani mtoza ushuru . tujifunze kwa nchi kama singapore wanafanyaje.. watu wanabata huduma boraaaa...
  4. I

    Natafuta kijana anayeweza kudesign website nzuri

    Ninahitaji kijana wa kudesign website nzuri sana awe na laptop na awe na sample aliyo design yeye atume e-mail : kimbalecomputers@yahoo.com karibu kimbale computers
  5. I

    Niachane vipi na huu mchepuko?

    USIKIMBIE MAJUKUMU watafutie Card ya BIMA tunza wote mungu atakulipa usimkimbie mchepuko fanya ubinadamu kidogo... wewe mwache azae kwanza ndiyo umueleze baada ya kuzaa kaa miezi kama 3 hivi basi
  6. I

    Turudi kwenye reality: Rwanda ina wataalamu gani? Products za chuo gani? Any ranks..

    Hapo kuna issue nyingine ya Business IT aligment sio kuwepa mazingira ya IT tu ila je IT inaisadiaje businesss ili uwesze kutoa services inatotakiwa kwa jamii nzima . Kwa mfano Tanzania Kupanda Bodaboda its a high risk kwa maisha yetu lakini kwa wenzetu...
  7. I

    Turudi kwenye reality: Rwanda ina wataalamu gani? Products za chuo gani? Any ranks..

    Hi JF Tatizo liko kwenye staff recognition . Mimi nikifanya kitu kizuri kwa tanzania je nitakuwa recognize ? kwa wenzetu ndiyo wanafanya hivyo hata ukienda urusi mpaka mitaa yao wanaipa majina ya watu walionya nchi yao kwenda mbele ile ni kisiasa kitechnologia ...
  8. I

    Turudi kwenye reality: Rwanda ina wataalamu gani? Products za chuo gani? Any ranks..

    Hai Wadau ya JF Kuhusu TEHAMA katika nchi ya Rwanda ni kwamba wataalamu wake karibia wote wametokea Tanzania katika chuo kikuu cha Dar na hasa kwenye kitengo cha computer (UCC) na moja wapo wa mkugenzi wa UCC aliwasaidia sana kutengeneza IT strategy plan ya...
  9. I

    Makonda apiga simu Clouds Tv 360 kukemea ushoga

    Haya Jamaa Kwa Clouds kwa ujumla hawako innovative kabisa kwani kuonyesha kipindi kama hicho ni kuishiwa ubunifu kwa kweli na kuna vitu vingi sana vya kuonyesha , na vya kuifushisha jamiii. kwa mfano hata kuwa na topic ya why move from 3g to 4g unaita...
  10. I

    Nafasi ya kazi jijini Mbeya: Secretary wa shule

    nitakujulisha kama wanahitaji
  11. I

    Nafasi ya kazi jijini Mbeya: Secretary wa shule

    tuma cv yako kwa kimbalecomputers2000@gmail.com
  12. I

    Nafasi ya kazi jijini Mbeya: Secretary wa shule

    I need Form Iv leavers or Form Six with Secretarial education from Magogoni
  13. I

    Nafasi ya kazi jijini Mbeya: Secretary wa shule

    Hi JF Natafuta Secretary wa mkuu wa shule iliyoko mbeya mbarali awe na uwezo wa kutumia computer vuzuri sana na atapewa nyumba ya kukaa huko shuleni. na mshahara ni maelewano vizuri sana. tuma CV yako kwa kimbalecomputers2000@gmail.com deadline ni 20/6/2016
  14. I

    Je, kutomuongezea mfanyakazi mshahara kwa miaka sita ni kosa kwa shirika la Umma?

    Wote hamna aliongezewa hata mmoja na hata kuna watu wenye Phd lakini six years nothing .....
  15. I

    Je, kutomuongezea mfanyakazi mshahara kwa miaka sita ni kosa kwa shirika la Umma?

    Jamani Wadau wa JF napenda kutoa duku duku langu kuwa niliajiriwa kwenye shirika la umma X kwa zaidi ya miaka 11 sasa hivi ila tangu mwaka 2011 mpaka leo hatujaongezewa mshahara hata sent tano. na tukiulizwa tunaambia hali ya shirika ni mbaya kwa miaka sasa naombeni...
Back
Top Bottom