Je, kutomuongezea mfanyakazi mshahara kwa miaka sita ni kosa kwa shirika la Umma?

ICDLTZ

Member
Sep 18, 2015
41
17
Jamani Wadau wa JF
napenda kutoa duku duku langu kuwa niliajiriwa kwenye shirika la umma X kwa zaidi ya miaka 11 sasa hivi ila tangu mwaka 2011 mpaka leo hatujaongezewa mshahara hata sent tano. na tukiulizwa tunaambia hali ya shirika ni mbaya kwa miaka sasa naombeni ushauri wenu nini kifanyike
wenu mdau wa jf
 
sasa mkuu kama ushaambiwa kuwa hali ya shirika ni dhoofu lakhari ,unataka nn sasa,je wengine wanaostahili wameongezewa??
 
Wote hamna aliongezewa hata mmoja na hata kuna watu wenye Phd lakini six years nothing .....
Kama hali ya kifedha ya kampuni ni mbaya, inabidi iwe hivyo kuliko kuachishwa kazi itakapoishiwa kabisa. Ila angalia uwezekano wa kupata ajira sehemu nyingine kama hakuna ahueni na mambo hayaeleweki.
 
Back
Top Bottom