mzee wa k katumwa huyo. namuona mda na post zake za kinafki. hao ndio wanaoshauri serikali utumbo siku zote. kwa sasa wananchi tumechoshwa na sheria zenu aambazoo siku zote zinakuja wakati wanajitetea ila wakati wananchi wanadai mambo yao sheria huwa haipo ila maagizo ya viongozi ndio yanatumiwa...
kwa mujibu wa maelezo ya mwanasheria wa standard Advocates leo asubuhi kwenye redio uhuru FM mahakama hawako sahihi wameliingilia bunge.hivyo bunge lipo sahihi.
nadhani yanayotokea marekani wanataka yatokee hapa wananchi kuzichoma nyumba mitaani na ofisi kwa kutoridhika na maamuzi ya mahakama kwa mauaji ya kijana mweusi. sasa hawa mafisad wa TZ wanataka tuingie mtaani.
Dawa ya hii mahakama ni kuichoma moto tu hatuwezi kukubali kuiona ikitummiwa na wezi kutunyanyasa namna hii. hivi Rais naye anahusika nini? mbona yupo kimya kiasi hiki? vijana tusikubali wakitoka bila mjadala huu tunawawajibisha.
Mimi ni kijana wa miaka 31 nina shahada mbili, naishi tanga ni mfanyakazi serikalini. Nahitaji mke wa kuoa awe muislam na angalau awe na elimu ya certificate au zaidi. Kama kuna yeyote aliyeko tayari ani pm kwa mawasiliano zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.