Recent content by Ibulyu Mbiti

  1. I

    JamiiForums Tanzania Quote From: The President Dr. Jakaya M. Kikwete!

  2. I

    JamiiForums Tanzania Quote From: The President Dr. Jakaya M. Kikwete!

    Vipi ile taarifa ya CAG (Mhilu) ya mwaka 2009 kabla ya hajawa rais. Je, wahusika wa wizara ya ya Mambo ya nje ambayo ni kati ya wizara zilizoongoza kwa kutafuna. alikasirika.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Quote From: The President Dr. Jakaya M. Kikwete!

    ndivyo alivyojipanga kutafuta umaarufu wa bei chee. Ana mkasirikia nani, mbona waliotafuna EPA na Tanesco hajakasirika ?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nape atoa povu alipoulizwa CCM imekuwa chama cha Watoto wa viongozi kama yeye

    Huyo ni Vuvuzela likipulizwa tu linatoa sauti.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kwa hili tukio la leo mnawaonea CHADEMA

    Kama walikuwa na kibali cha Maandamano ilitolewa wapi ?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mawaziri Wagoma: Mkulo asema hawajibiki kamati kuu CCM, Nundu acharuka, Maige niache

    Ingawa Mkullo simpendi tokana utendaji wake. Lakini yupo sahihi. Kwani hajawahi kutokea tangu enzi za JK wa ukweli kupata baraka za CC. Mwenyekiti anachemka ile mbaya, labda angekuwa ameomba baraka wakati wa uteuzi ningeona mashiko kidogo. Mbona tangu EL ajiuzuru jamaa anapwaya ?
  7. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kwa hili tukio la leo mnawaonea CHADEMA

    Pia nakumbuka JK alituambia pale jakwani kuwa vyama vya upinzani vinafanya kazi uchaguzi ukikalibia. Sasa magamba wamemsikiliza JK, CCM wanaanza kupinga hatua hiyo.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kwa hili tukio la leo mnawaonea CHADEMA

    CCM sisi wananchi tunawapima kwa uwezo wenu wa kupambanua mambo, na kusimamia yale nayotolea maamuzi. Mimi sielewi ile historia ya Shule ya msingi inawasaidia nini ? endapo mesahau kuwa Nyerere alianza siasa akiwa shuleni hadi chuoni tena akiwa mwanafunzi hadi alipokuwa mwalimu.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nape atoa povu alipoulizwa CCM imekuwa chama cha Watoto wa viongozi kama yeye

    Jamaa ni vuvuzela. Lokipulizwa tu kama kawa halina mipaka wala kupambanua misingi ya hoja. Nimeshangaa aliposema kuwa hoja ya ubadhirifu ni ya CCM. Wakati watu wote wanajua kuwa ni ya Bunge (Bila ya kujali imetolewa na mbunge wa chama gani). Pia eti wao wapo 78% wangetaka wangeimaliza. Swali...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Je, hawa tu ndio CCM vyuo vikuu?

    Jamani mimi labda sikuelewa vizuri. Nakumbuka kuwa serikali ilipiga marufuku siasa katika vyuo vikuu na kwamba ikionekana mwanafunzi anajuhusisha na siasa atafukuzwa shule. Sasa hii sielewi imekaaje ? au kwa ccm Ruksa
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

    Hawa jamaa sio Wazalendo kabisa. Sasa hizo nyumba za serikali walizopewa waishi si wangeziachia ili wakae akina Nahodha. kwa kweli uchoyo bwana. Then, wanasema Dr. wa Ukweli hana uzalendo. Kwa hili Mawazili wote wana Mahekalu. Mzee wa data (Klm za barabara) yeye ndiyo Kamaliza
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

    Karibu wote, nasikia mzee mzima Pombe niyo balaa, yeye anazo tatu pale Kinondoni. Hiyo sio mbaya sasa wateja wake wanajenga barabara za Tanganyika.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

    Lakini, hizo biashara na nyumba zake tume ya maadili ya viongozi wanazijua ?. Kama ni nyumba za kifahali na zenye bei mbaya viongozi wengi wanazo. Hofu yetu ni kwamba wamezionyesha kwenye orodha ya mali walizonazo ? Na hii, kabla ya kuwa waziri na baada ya kuwa waziri. Kama ana Biashara je...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Dogo janja

    Maneno Machache lakini mazito na yenye ukweli na upendo.
  15. I

    JamiiForums Tanzania Nataka NAPE ujibu hili

    Kwa maana nyingine ameshatuambia kuwa wamehusika. Kwa kutamka walianza wao kwa hiyo wao wanajibu.
Back
Top Bottom