Recent content by IbrahimJumaMassanja

  1. IbrahimJumaMassanja

    Wanawake wasiofanya kazi ni mzigo kwa jamii

    Wewe ni mgonjwa.. Na tiba ya ugonjwa wako ni kunywa maji ya betri... Hivi wewe unafanya kazi na mie nafanya kazi.. Mie ni boyfriend tuu sio mumeo.. Kama starehe tunafanya wote na raha twapata wote, vipi unigeuze kuwa mzazi wako kwa kila hitaji? Khaaaa... Hivyo vitu vizuri ntavikuta mbinguni...
  2. IbrahimJumaMassanja

    Lissu Muombe radhi Dr.Slaa kabla mambo hayajakuharibikia zaidi

    Kila mbuzi atakula urefu wa kamba yakee
  3. IbrahimJumaMassanja

    Yanga yazidi kubomoka kwa kuondokewa na wachezaji wake

    Kwakuwa ni tetesii. End of the day huwaga ni tenesi... hakuna haja ya kutokea povu jiiingi hapa msimu wa usajili utamalizika InshaAllah itafahamikaa na kama kuna umbea ndani yake ataumbuka.. ila nijuavyo mie young africans ni kubwa kuliko mchezajiiii... Na mchezaji akishaanza kujiona yeye...
  4. IbrahimJumaMassanja

    Look who is back...

    Hahaaa, huyo jamaaa amekuwa kama joey barton yuleee wa newcastler united vs arsenal
  5. IbrahimJumaMassanja

    Mzee Akili Mali atangaza kugombea uenyekiti wa Yanga

    Sio kwelii, ni njia tuu ya kuwapumbaza walee bendera fauta upepoo
  6. IbrahimJumaMassanja

    Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    Broo.. kama umesoma freshi masuhala ya udini yapo pembeni ila ukikurupuka utaona ni udini.. kila nafsi hujitetea yenyewe kutokana na mkasa inayokutana naoo.. hii ni hadithi fupi ya maisha yake na fikra zake alizieleza kwa wahusika pale paleee
  7. IbrahimJumaMassanja

    Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

    Mmhhhhh... aseeeee Follow istractions man ulimi uliponza kichwa.
  8. IbrahimJumaMassanja

    Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

    Hahaaaaa. Ukiwa seriously sister utapat.. ila kama ni jokes na wanaume jokes wapo kama bahariiiiii
  9. IbrahimJumaMassanja

    Lukuvi awachambua wizi wa kina sumaye lowasa

    Mmhh. Hamna mwenye lipyaaa. Sasa hivi hatuangaliii kuwepo kwa mabadilikoo tunataka ccm itoke kabisaaa kama ni mabadiliko tushabadilisha mh. Mwinyi hadi mh. Mkapa then mh. Mkapa akamwachia dr.jk sasa sithani kama kuna haja ya kubadili tena kiongozi.maana tushabadilisha saana sasa hivi tubadilishe...
Back
Top Bottom