Muislamu sahihi anajua kuwa uongozi ni kazi ngumu, siku ya kiama utakuja kuulizwa. Acha hawa mashehe bandia ambao wanabashiri vifo kwa waandamanaji.
https://youtu.be/xLEndVFoaiU?si=8UC8rmTyPueBhhpg
Humu ndani watu wanajipiga vifua buree...ishu ni kuwa Kenya iko mbele kiuchumi. Uzuri ni kuwa Tanzania nayo inafuta unyo unyo. Hio pdf inaonyesha kuwa Kenya iko ranked number 5 in Africa kwa utajiri. Details kadhaa soma hio ripoti ujue uchumi umefikia wapi baina ya Kenya na Tanzania ikiwemo nchi...
Has anyone succeeded in upgrading the old zuku decoder via OTA? I want to watch the fta channels on ses-5... Has anyone tried it? My decoder restart when it reaches 75% upgrade
Nimeiona hii post kwa blog flani nikashindwa kujizuia kuiweka humu.
Ukweli usemwe. Ndoto ya kila mwanaume katika hii dunia wakati mmoja au mwingine hufikiria kuwa na kipawa cha kuweza kumzuzua mwanamke yeyote anayemzimia. Uzuri ni kuwa hauhitaji kuwa tajiri ama kuvutia ili uwe na kipawa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.