Mahitaji kwa ajili ya kampuni
1. Namba za Nida (kila mtu yake)
2. TIN numbers (Kila mtu yake,TIN yoyote aliyonayo kwa jina lake)
3. Phone, email, (kila mtu yake)
4. P. O. Box zenu.
5. Mahali mnapokaa kila mtu
6. Memorandum & Articles of Associtaion iliyopigwa mhuri wa mwanasheria
7. Pesa ya...
Kuna utofauti kati ya kampuni na jina la biashara (business name).
Jina la biashara ni jina la utambulisho ambalo umeamua biashara yako ifahamike na kuitwa.
Mfano ni majina ambayo wengi wanaandika kwenye maduka yao. Yale ni majina ambayo wameamua duka na biashara zao zitambulike
Hivyo...
Hiyo inamaana pia kwamba mtu anaweza pia akaupoteza wokovu hapa hapa duniani... Yaani anaweza kukata tamaa na kurudi nyuma na hivyo kuupoteza wokovu. KAMA VILE AMBAVYO WAISRAELI WENGI WALI-OKOLEWA KUTOKA MISRI LAKINI WALISHINDWA KUFIKA KAANANI. (kwahiyo nao walishindwa kuvumilia hadi mwisho)...
KUBATIZWA KWA MAJI VS KWA ROHO
Watu wengi hubatizwa kwa Roho kwa kujazwa na Roho Mtakatifu hata bila ya kubatizwa kwa maji. Hii inatokea sana injili ikihubiriwa sehemu ambazo watu hawayajui makanisa wala hawajawahi kubatizwa kwa maji. Hata familia ya tajiri Kornelio pia ilikua hivyo. Hadi mtume...
WanaJF habari...
​
Kama mwanaume akimwambia mwanamke akisema Unajua mimi nakupenda sana tena nakupenda saana Lakini sipo tayari kua bwana wako. Yaani sipo tayari kua mume wako. Je, mtu huyo atakua anampenda kweli huyo mwanamke? Basi maana ya kuokoka inapatikana kwenye huu mfano. Kwa...
Tatizo lako ni kwamba wewe ndio unapenda sana pesa kiasi kwamba hata ukifanya kazi ya Mungu ni kwasababu ya pesa tu. Na hii imejaa sana moyoni mwako kiasi kwamba huamini kabisa kama kuna mtu atafanya kazi ya Mungu bila maslahi ya pesa. na ndio maana umeandika hivyo ili kuonesha hiyo mentality...
Watu kama nyie hua hamkosi kuwepo humu. kwani imeandikwa "Mtu ambaye hana Roho wa Mungu hawezi kupokea mambo yatokayo kwa Roho wa Mungu, kwa kuwa ni upuzi kwake, naye hawezi kuyaelewa kwa sababu hayo yanaeleweka tu kwa jinsi ya rohoni."(1korinth.2:14).
kwahiyo hatushangai kuona watu kama nyie...
Kufanya mapenzi nje ya ndoa au kabla ya kuoa ni kuzini.
Na kwamba kama wewe ni mkritu na ulibatizwa, basi hapo ulipo mwilini mwako una Roho Mtakatifu.
Sasa kuzini huchafua mwili wako (your body becomes un-holy). Kwa maana hiyo KUZINI HUSABABISHA MTU KUPOTEZA ROHO MTAKATIFU MWILINI...
The one who is opposing this nuclear power plant plan is so consumed with negativity than the positive. every progress must have some risks. and those who want changes must take some calculated risks. i think the project should go on.
mkuu.... heshima kwako...
1. hujaangalia tume ya uchaguzi itatenga muda gani wa kampeni.
2. je. hao mabepali ndio watakua na influence kwenye vyama vya siasa tuu?
3. huja-angalia ni mfumo gani utatumika na vyama saisa kupata wagombe wa ubunge.
4. wengi walinza kampeni bila pesa, lakini...
HABARI DADA.....
Kabla hujaendelea naomba nikupe kitu ambacho kinaweza kuwa ni foundation katika maisha yako.
naomba CHUKUA NUSU SAA TUU NA pitia VITABU VIFUATAVYO
1. SINGLE, MARRIED, SEPARATED AND LIFE AFTER DIVORCE
2. WAITING AND DATING
THIS BOOKS MAY REVOLUTIONIZE YOUR LIFE. PLEASE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.