Recent content by Ibrahim Mwilapwa

  1. Ibrahim Mwilapwa

    JamiiForums Tanzania Liberia: Rais Boakai ashindwa kumalizia hotuba baada ya kuapishwa

    Nyuzi joto 30????? kwani ilibidi iwe ngapi??😂
  2. Ibrahim Mwilapwa

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    hizo hapo
  3. Ibrahim Mwilapwa

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa imeanza Kurasini Matankini

    Polen wa kurasini hii ndo serikali yangu mm naww 2015,kuwa makini hakikisha haukosei,,,,,,,,,,,,,,,,
  4. Ibrahim Mwilapwa

    JamiiForums Tanzania Moshi: Padri afumaniwa live na mke wa mtu akiwa uchi wa mnyama

    Mi naona yupo,sawa tu!!kwan si wamezuiwa kuoa??hata huyu mama P!si mke wake!kwaiyo............! Hajakoxea bhana!!
  5. Ibrahim Mwilapwa

    JamiiForums Tanzania Hivi hii shule ni imekatiwa tokeo au

    Hakutoa ada ya mtihan
  6. Ibrahim Mwilapwa

    JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri wako

    habari wana jamii forum kwa jina naitwa ibrahim kama inavooneka,samahani kaka yangu anaomba ushauri kuhusu hili `wiki moja iliopta hapa kijijin kwetu kuna mtoto alikufa katika mazingira tatanishi,kaka angu anafahamiana na mmoja ya askari upelelezi aliyetumwa kuja kutafuta ukweli wa mauaji...
  7. Ibrahim Mwilapwa

    JamiiForums Tanzania Huuu ni ufisadilo

    MMJAMANI HUU NI UFISADI WA KIUAJI>>>>>>>>>>> Yafuatayo ni malalamiko yangu na ambayo pia ni malalamiko ya wastaafu na wanaotarajia kustaafu ambao ni wanachama wa NSSF. Ninachoamini ni kuwa wananchi wote wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii wanayo haki ya kupata mafao sawa kwani...
Back
Top Bottom