Ccm hata akisimamishwa pungwani atashinda tu, ccm imewateka wengi, wengi wameshakubali kuwa koloni la ccm, ila IPO siku, yaja upesi, ccm itapoteza Kila kitu, itaangika kama ufalme wa baberi
Ivi unadhani Kuna kigogo ambaye watoto wake wanakula dagaa wa mwanza na ugali muhogo vinavopatikana tz?
Wako zao mambele huko, wakija tz ni study toure tu, wanakuja kutusangaa cc nyani Kisha wanarudi zao US, MAUBERGJ UKO, we Baki na mawazo Yako ya kipuuzi
Sio wote, wapo wasomwelewa kama Mimi vile. Angekua tunu kwangu kama angeforce mahakama zitoe haki, tena Kwa wakati.
Kuwasikiliza wanainchi kero zao husasani zinazoihusu mahakama au mifumo ya utoaji haki, na wakati yeye Hana mamlaka za kimahakama, anatwanga maji mukinu
Makonda anashughurika na matatizo ya mwanainchi mmoja, mmoja
Lakini CHADEMA anashughurika na chanzo kinachosababisha matizo kwa wanainchi, Kwa ajili ya kizazi Cha Leo na Cha kesho.
Je nani ana thamani kwangu/kwako.?
Tunataka mifumo imara, ambayo haitegemei mtu mmoja. Leo makonda yuko...
Kabla cjajaajiliwa nilikua nalipwa 100000(deproma) sikua peke yangu. Iyo ni mwaka juzi 2021.
Ukishahitimu chuo tu. Tunagawanyika, Kuna watoto wa matajir wao wanaenda kusimamia miradi ya baba zao, wengine wako maeneo yenye fulsa nyingi so wataajirika hata Kwa malipo madogo yenye uafadhar, wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.