Ndiyo muwe na akili sikuzingine mkiambiwa mkaandamane msikubali unafikiri waliopoteza maisha akati wa kura walipofanya maandamano si kama vile wamejinyonga tu wenyewe ona sasa watu wanaenda kula kuku kwa mrija wakigongeana glass na mwinyi wewe umekaa nyumbani unauguza mguu uliokatwa kwa uzembe...
Huo ni mpango wa Mbowe hayo unayoyasema mkuu hayawezi kufanyika abadan mbowe anajuwa kila kitu hebu watokee waseme hiyobaruaya majina kwenda kwa nec imefojiwa tuone wasiposema hivyo mjue ni mbinu za mbowe hizo
hahahahaaaaaaa sky bana ulikuwa unaongea utumbo jana wakati ukijuwa kabisa hao chadema siyo wenzako unayofikiria wewe wenzio wako tofauti hiyo saccos ya mbowe wewe unweka msuli kabisa kuitetea ndiyo maana unazeeka wakati bado kijana toka huko kwenye stress karibu nyumbani kumenoga uwe kijana...
akitokea myika au mbowe kufanya press kuuelezea huu usaliti walioufanya nahama nchi hapo ni aibu tupu tamaa ya pesa na wamewafanya wafuasi wao vilaza wa kutupwa yaani ningekuwa na kadi ya chadema ningeitafuna nikaimeza kabisa isionekane walafi tu hawa
hapo kwenyewe wanataka sana kuleta hayo majina lakini mbowe anataka mkewake aingie na wengine kibao yaani mnagombea fito mapema hivyo mkipewa nchi si mtapigania uwaziri
baraka ya chama ni kupewa kadi na kupewa bendera kupeperusha kwenye uchaguzi ulitaka apewe baraka gani au mbowe ampe yale maji yake ya baraka anawapaga kina amdee?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.