PAPA anasujudu, wewe unapiga vinanda na kucheza mdundiko........ama kweli Ufalme wa Mungu watarithi wachache wenye kusujudu kama PAPA.
PAPA Anavaa KANZU, we unakomaa na SUTI ya kachumbari, halafu SUTI nyeusi juani...tai nyekundu:mad:, viatu vyeupe, sharti njano o_O na superblack kichwani:D:D:D...