Hiyo ni dalili yakuwa,serikali huenda isitoe ajira kwa zaidi yq mwaka mmoja.
Kenya itawafanya madaktar wahuku kama vibarua kuwalipa kidogo kwamkataba wamuda mrefu
Shemej yako mkurya anamatatizo ila familia yenu inamatatizo zaidi,nahuenda hayo ndo yaliyompelekea mkurya kumsalit dadako..!
**familia yenu haina usiri kuanzia mama mpaka kwa jarome,mpaka nikahis huenda mwandishi anamatatizo yakijinsia.
Haiwezekani mamako akitaka kununua boxer yamkwe wake mpaka...
Ngoja mi nijaribu kueleza kidogo,
Sisi tunaamini quran ni mwongozo kwawatu ie kupitia hiyo twaweza kupata mahusiano yakijamii(maingiliano baina ya mtu namtu), twaweza kujua namna yakuuza nakununua,twaweza kupata mambo ya utawala/uongozi natwaweza kujua mambo yakindani na yakinje..! Nandio maana...
Huenda ikamaliza tatizo lautumiaji waboxer kwamatukio yakihalifu, lakin isimalize tatizo la uhalifu kwa ujumla wake.
Ukiachana na utumiaji wa boxer kwenye uhalifu, pia wahalifu hutumia silah zamoto, nahapa ndo pakubwa kuliko kwenye utumiaji wa boxer coz maisha ya watu yamekuwa reheni kwasababu...
Of course hata kwenye miji ya huku pwani ,watu wakanda ya ziwa wamekuwa wakiwindwa sana na mabinti, nabaada yakufanya uchunguzi tukagundua yafuatayo:-
1-watu wakanda yaziwa wanasauti yakipekee yenye kuwatambulisha kwenye jamii yoyote...hivyo kuwafanya waonekane kuwa ni wageni.
2-watu wakanda...
Sijakuelewa,
Hayo madhara yote ni psychology...!
Na ndio maana hata mwenye kuvaa cheni kiuno huweza kuwa malaya vile vile mwenye kuvaa bikini au mwenye kuweka kipuri kwenye kitovu huweza kuwa kahaba kama ambavyo avaaye kikuku mguuni huweza kuwa changu...!
Psychology na perception ya mvaaji ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.