Nimekutana na salamu hizi za kumtakia heri ya kuzaliwa Muheshimiwa Rais, Mzee Magufuli kutoka nje ya Tanzania, zinasema mengi na huenda zinatufunza kitu watanzania.
Sina hakika na dhamira Ya dhati Ya Zitto, katika hili, zaidi naona ni ameona fursa Ya kujitutumua mbele Ya raia naye akumbukwe yupo, maana ndivyo amekuwa akifanya kipindi hiki.
Suala hili alipaswa kuliangalia pande mbili, Ikiwa sasa atailaumu CCM, wakumbuke siku si nyingi walikuwa wakiilaumu...
Nina rudia point tangu maana naona kuna watu hawajaelewa nilichomaanisha na wamekimbilia kujibu..... Sijakataza wakosolewe, ila wewe unayekosoa utoe Na fikra mbadala ambayo ni bora zaidi.... Mfano, Simama na useme badala Ya kufanya hili au hivi ingefanyika Hii Au hivi ingeleta matokeo haya na...
Hapo Sasa ndio unadhihirika ukweli kuwa Si kila mpiga kelele ana nia Njema Ya kuleta maslahi bora Kwa nchi hii...! Ndio maana kikubwa tunachoona ni kukosoa tu, na ajabu ni kuwa hao wanaokosoa hawadhihirishi kama wao wana namna mbadala bora zaidi kuliko wanauoikosoa, wangekuwa nayo wangeitoa kwa...
Hahaa kwanza ungeuliza ni mwanaume gani anaweza kujitangaza kuwa ameoa kama ambavyo wanawake hujitangaza kwa fahari kuwa wameolewa.. Kwa mwanaume Ndoa ni kama jela na kitu kikubwa tunachopenda katika Ndoa ni watoto... Lakini Mwanamke anachukulia Ndoa kama uthibitisho kuwa na yeye ni mzuri, yupo...
Doh, sasa ndugu ukiuliza hilo swali kana kwamba kuna aliyefanya uchunguzi humu, ama unatafuta wa kukusaidia kusukuma hamasa yako Ya kusema ni uzembe? Shetani ni muovu ila Si kila ovu atupiwe, usiwe kila kitokeacho basi tuwatupie madaktari usoni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.