Sio kila ndoto ina tafsiri ya moja kwa moja (direct) au kupindisha sehemu fulani ya ndoto ili kuleta mantiki.Tafsiri za ndoto ni taaluma toka enzi na enzi,ni kipawa cha kiuungu (Divinely talent).Watu wajitahidi kutofautisha from their mere opinions from the exactly and really meaning of the...
Mkuu Makalango,pokea ushauri huu juu ya tafsiri ya hiyo ndoto ya mpenzi wako wa awali,kukuota wewe wewe umekufa hakuna maana ya moja kwa moja kuwa utakufa,kuota kifo kuna maana ya MABADILIKO/UPYA au MWANZO MPYA juu ya jambo la zamani,ni ishara ya maisha mapya na Mwanzo wa ukurasa mpya wa...
Mkuu hiyo sehemu iitwayo Migongo asili yake ni miti aina ya Migongo inayotoa matunda yaitwayo magongo kadiri waitavyo wenyeji wa hapo, nadhani wengine mahali pengine huyaita EMBE NG'ONGO au EMBE GONGO au EMBE NG'ONG'O.
Hivyo basi jina hilo Migongo halina uhusiano na kiungo cha mwili (mgongo )...
Mkuu hongera kwako,upo njema sana kuelezea socioeconomic and geographical facts za Mtwara ukizingatia wewe ni mgeni wa maeneo hayo ...Natumaini hautumii Atlas book kutaja hivyo vijiji...But frankly speaking you have awakened my nostalgia by mentioning those villages and other particular areas.I...
Mr.loner yupo vizuri sana katika kuelezea socioeconomic and geographical facts za Mtwara wengi wanaompinga nadhani wanampinga ili ama kunogesha mada or to provoke aendelee kushusha nondo....
Mkuu kwa kukuongezea unaweza kuupata wimbo mzima mtandaoni (pengine kwa YouTube ) kwa kuandika COTTON CANDY-AL HIRT.Inaonekana RTD walitumia wimbo huu kutengeneza "jingle" ya kipindi.
Mkuu inaonekana umechanganya majina kati ya Juma Kilaza na SALUM ABDALAH. Ni Salum Abdalah ndiye aliyekua tajiri (alitoka katika familia tajiri yenye asili ya Asia,ila mama yake ni mswahili) na alikufa kwa ajali ya gari mwaka 1965.Salum Abdalah alikua mwanzilishi wa Cuban Marimba Band na kisha...
(b).mother
Interpretation :
Your daughter's mother is your wife. And your wife is a daughter of Teresa,which means Teresa is a MOTHER of your wife (grammatically Teresa is your mother-in-law )
Wote wawili mwanaume na mwanamke wanachangia kuharibu ndoa yao. Hii ninaweza kuieleza kwa kutoelewa kwao ama kuelewa na kupuuzia falsafa ya KUACHA NA KUAMBATANA.
Kabla ya ndoa kila mmoja anakua na tabia na mienendo,mila na desturi,marafiki na vitu anavyovipenda na KUAMBATANA navyo.Sasa...
Kwa kadiri ya uelewa wangu katika lugha ya kiswahili(soit ma deuxième langue) tofauti baina ya maneno hayo mawili ni:
~NDIO ni kivumishi kioneshi (V).kivumishi ni neno linaloelezea zaidi nomino au kiwakilishi.Neno hili, NDIO, linaweka mkazo katika KUONESHA nomino/kiwakilishi.
Mfano;Hii NDIO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.