Recent content by Ibinzamata

  1. I

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Wadau, Nimeshangazwa na ukimya wa yule Mwanasheria nguli wa CHADEMA katika utata mkubwa wa kisheria unaogubika taifa katika suala la uchaguzi Zanzibar na pia madai ya UKAWA kuibiwa kura. Kulikoni kwa mwanasheria huyu nguli? Hata kipindi cha mwisho mwisho cha kampeni za kitaifa UKAWA...
  2. I

    Mheshimiwa Sendeka umeshindwa kwenye hoja

    Mkuu shukrani sana sana. Hii ni "master piece" katika kuelezea dhahama inayolipata taifa letu Tanzania na Afrika kwa ujumla. Laiti waafrika wengi tungelitambua ili... bahati mbaya nyakati zinatutupa mkono. Kwa mara nyingine asante sana.
  3. I

    Obama Live at The State House of Tanzania

    Wadau, jana katika kuongezea majibu katika swali aliloulizwa Obama kuhusu US support kwa Tanzania, mkuu wetu wa nchi alitoa kauli hii katika sehemu ya majibu yake " Infant mortality rates have declined. HIV infections have declined." Mimi sijamuelewa, naomba ufafanuzi kwa anayeweza kunielewesha.
  4. I

    Prof Muhongo asema Mtwara wamekuwa wakitumia umeme wa Kiihansi kwa muda mrefu. Ni kweli?

    Hutakiwa kuwa na hicho unachokiita "elimu" ili upate umeme ukumulikie wakati wa giza, ukusaidie kupata ugali kupitia ukinyozi,hair dressing, kuuza vinywaji baridi,barafu, udobi,kuonyesha mechi ya "Man u na arsenal" nk. hizi nazo ni baadhi ya ajira zetu watanzania. Panua fikra kiumbe
  5. I

    Philip Mangula ateuliwa kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Wanabodi baada ya pendekezo la Mangula kuwa Makamu Mwenyekiti je JK ataendelea kujutia makosa yake na kwenda kumuangukia Mzee Salim A Salim arudi kundini? Pengine ndiye mgombea Urais CCM 2015 kwa dhana ya "Ni zamu ya wa Zanzibari"
  6. I

    Uliponiambia kuwa hawezi kazi niliamini lakini sikujua kuwa hawezi kwa kiwango hiki!

    Kamwe katika maisha yangu siwezi kusahau kitendo cha wana CCM wengi kuwaweka Dr. Salim na JKikwete katika mzani mmoja. Hivi mtu unaanzia wapi kuwalinganisha Salim na Kikwete? Heshima na hadhi ya Dr. Salim, kitaifa na kimataifa ni ya kutukuka. Kumlinganisha na Kikwete ni aibu kubwa kwa watu...
  7. I

    Jk, el, ra, wapelekeni chadema mahakamani

    CHADEMA walipofungua mkutano wao wa kampeni za uchaguzi 2010 pale Jangwani, walitamka kinaga ubaga kuwa wakwapuaji wakubwa wa pesa za Taifa ili kupitia "Benki yetu ya kati" ni Jakaya Kikwete, Rostam Aziz na Edward Lowasa. Kwamba walijipenyeza na kufanikiwa kumshawishi Ben Mkapa ashiriki wizi huu...
  8. I

    Daraja la kati ni wale waendesha ma-baloon - Dr. Jakaya Kikwete

    Kikwete anachefua na Lugha zake za mitaani. He is the head of state lkn kauli zake nyingine utafikiri muhuni fulani hivi. Ma-baloon, ukizoea kula nawe utaliwa, mambo mswano, changanya na za kwako, watoto wanakiherehere, leo hakuna mchawi hapa, oooops............
  9. I

    RA anao utajiri wa zaidi ya 555bil kwa mwaka.Yeye amekiri kuwa ni kweli LEO

    IGP mwema aliwaambia waTZ hawakumuelewa... Kuwakamata MAFISADI nchi itayumba... Hii ndo ilikua maana yake. Mburushi na genge lake wameshikilia uchumi wa Taifa ili. Incredible!!!!
  10. I

    Serikali ya CCM ni janga la taifa

    Ndugu zangu, tutafakari kidogo. Kwa miaka mitano ya utawala wa JK, nchi yetu imekumbwa na balaa la hali ngumu sana ya maisha. Leo Watanzania tunakabiliwa na balaa kubwa la mfumuko wa bei katika kila bidhaa tuinunuayo. Takwimu zinaonyesha kila bidhaa imepanda bei mara mbili ya ilivyokua miaka...
Back
Top Bottom