Recent content by ibb

  1. ibb

    Mjue Sloth, mnyama asiye na haraka na maisha

    Alafu mwamba alikua anapeleka gari vibaya sana😂😂😂😂😂
  2. ibb

    Namna gani smart naweza kudate na mke wa mtu na mumewe asishtukie?

    Watu wa mapenzi wanasema utapakwa mafuta mkuu.
  3. ibb

    Niko addicted na JamiiForums

    Itoshe tu kesema JF ni bonge moja la platform kuwahi kutokea hapa nchini. Ni chuo kikuu asee sema tu hakina lecture rooms na hostels 1.kununua na kuagizia bidhaa nje nimejifunza JF 2.Kutumia internet ya bure through vpn nimejifunza JF 3.Machimbo makali ya mitumba na bidhaa kibao mjini bongo...
  4. ibb

    Samahani, huyu Mtu ni nani?

    Mkuu issue kubwa sio mchizi kua na kalio kubwa.. Kinachoacha watu midomo wazi ni kwann mwanaume analikuza kalio tena kwa makusudi.. ,, alifanyie nini yan!! Kama purpose ni kuonesha kwa vitendo the way mazoez yake yalivyo effective kwa nn asiwatumie wanawake ambao ndo target market yake.. Ni...
  5. ibb

    Kupata tunda ni akili tu

    Kwahiyo unaunga mkono lipi mkuu.. Demu classic ni yupi ? Mana kwa maelezo yako demu classic ni anaependa hela yan bila mkwanja haumgusi. Na yupo tayar kuahirisha appointment ukiwa unaleta blabla kwenye mpunga .. Sasa kwa sifa hiyo huyo ndiye malaya sasa ambae hawez akaingia kwenye kundi la...
  6. ibb

    UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

    Itoshe tu kusema ureno atascore over 2.5
  7. ibb

    Borussia Dortmund (The Black and Yellows) - Official Thread

    Kufuzu ni uhakika..bvb wanacheza kwa akili kubwa sana na psg anakufa ..adeyemi anapush sana
  8. ibb

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dua ni nyingi kk mpak atoke damu puani....umetumia options gani mkuu kwenye huu mkeka
  9. ibb

    Simba tukubali yanga hii inatisha

    Kwani sisi na wao ni lini
  10. ibb

    Vitu gani kwa wengi ni vya kawaida ila kwako sio vya kawaida

    Kucheza muziki kwangu ni mtihan asee.. yaani hata ile kumove two steps siwezi Kukaa na simu dakika 3 bila hata kuitoa lock na kushwipe left and right na kuisleep na kuiweka tena mfukoni.
  11. ibb

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kila nikiconect wananiambia " Engine local socket bind" Msaada mkuu
  12. ibb

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu naomba unielekeze namna ya kumake multiple selections katika game moja kweny mkeka mmoja.
  13. ibb

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Headed goal haihitaj ufundi mkuu, hakuna ushaur hapo. Weka mpunga, omba mungu [emoji122] Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom