Recent content by iamokay

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi ya Israel + USA dhidi ya Iran yanakupa taswira Gani kuhusu uwezo wa kijeshi wa JWTZ

    Nafikiri kama jeshi lolote duniani halitengenezi silaha zake lenyewe au kuzifanyia modification inazozinunua, hilo jeshi lisijiingize kwenye vita na US
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mwigulu kama mkewe ni muhimu kuzidi umma basi aachie ngazi akaongoze familia yake

    Ningekuwa mimi, ningesema " Mwenzangu kahudumu miaka 10, yenye mafanikio makubwa, na mimi ndio nimeanza, nipeni muda tu"
  3. I

    JamiiForums Tanzania Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

    Kuna vidonge ukirusha siku tu usimeze, vinavuruga kichwa. Any dr can tell
  4. I

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Ayatollah mpya ameuawa katika shambulio la anga!

    Sasa hivi hata mbuzi ukimuita Ayatollah, jamaa wanampelekea drone
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

    Shida inakuja pale ambapo mwanaume anatafuta mwanamke wa kutulia nae, na mwanamke anauzoefu akishaliwa anapotezewa, kwahiyo anakuwahi hata ukimkimbia, tayari amenunua dera kwa hela yako
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeona kitu kwa mke wangu ambacho nilitamani kujua kama ni kweli

    Kama kwa muda mrefu ulijaribu bila mafanikio, basi ujue kuna mwamba kakusaidia kulegeza nati hivi karibuni na bisibisi ya star, ndio maana uliyokuja wewe na kamsumari kako ukafungua kwa urahisi. Iko hivyo
  7. I

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini serikali haijaongeza scale za mshahara kama kima cha chini ni 500k . Kwanini shahada asianze na mshahara wa 1M angalau maisha yamepanda.

    Engineers, ICTO'S, QS Ndio mishahara yao wanayoanza nayo, tena ni zaidi ya hiyo. Jitahidi usomeshe watoto sayansi, ungwini kwenye ajira sio kivile
  8. I

    JamiiForums Tanzania Wote tulio na miaka 40+ tutakufa ndani ya Miaka 20 ijayo

    Kuna bwana mmoja alistaafu 2003, akasema soon nakufa, acha nizitafune chapchap hizi hela za kustaafia, leo ni 2026, bado yupo kitaa. Dadekiiii, hela hana, bahati yake alijenga vyumba vya kupangisha, anaishi kwa kodi. Na ni wale ambao walipostaafu walilipwa chao chote
  9. I

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nilipokuwa Waziri tulikuwa na Kijiwe chetu cha Kahawa Mtaa wa Siku Moja Akaja mlevi wa Gongo akasema’ na Mimi ni mwenzenu’ tukamtimua!

    Kwa hizo soksi, naweza nikakutajia kipato chake kwa mwezi. Na stori anazopenda kupiga pia
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto akienda kupokea bahasha kutoka Kwa Rais Samia

    Kwa wenye macho ya xray ule ni mkono heavy kabisa
  11. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Kanisa Katoliki kufanya ‘sala maalum’ kuombea uwepo wa Haki na Amani katika nchini

    Akikaa pale juu muislamu, chokochoko haziishi. Wakati yupo jiwe hamkufanya maombi wala kuroga, kwakuwa mwenzenu, mnataka kusema enzi za jiwe haki ilikuwa yakumwaga sio, acheni ulofa, kuleni spana mbavu zenu
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha kustaafu kiwe ni ugonjwa ama kifo, na siyo umri kama ilivyo sasa. Case study ni Steven Wasira.

    Kuna wale waliodanganya umri wakati wanaajiriwa, unakuta kaajiriwa na 35 halafu kasema ana 25. Sasa kashafikisha 60 lakini kwenye mifumo anasomeka 50. Tunawaonea huruma humu maofisini, wameshakuwa wasahaulifu, muda mwingi wanalala tu, teknolojia ishawatupa mkono, ni shida bro. Neema za Urais...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Dogo wa kazi kaambiwa aripoti ofisi ya serikali ya mtaa juma tatu asubuhi

    Hii ni sawa na kufungua swaumu nusu saa kabla ya adhana ya magharibi, unahesabika hujafunga siku nzima.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Dogo wa kazi kaambiwa aripoti ofisi ya serikali ya mtaa juma tatu asubuhi

    Utaratibu wa usafi wa mwisho wa mwezi upo kwa mujibu wa sheria ndogo za utunzaji mazingira almost halmashauri zote nchini wanacho hicho kitu Kutokujua sheria sio kinga dhidi ya kosa ulilotenda, hivyo kusema mi mgeni, sijui kusoma, sijaambiwa. Haikusaidii chochote. Kikubwa aende akasikilize...
Back
Top Bottom