kubadilisha maisha ya waafrika katika nchi masikin kama Tanzania si suala la kukurupuka, linahitaji viongozi imara na ambao hawana woga ktk kutetea masilahi ya Taifa, tushukuru mungu tumepata Rais anaeonekana mwenye nia kama hiyo. ufisadi ktkt nchi za kiafrika ndo jambo kubwa linarudisha nyuma...
mungu msaidie ndugu yetu huyu apone na arudi ktk hali yake ya kawaida na utuepushie sisi wengineo magonjwa na mabalaa mbalimbali. ila kuna baadhi ya watu hawana roho ya kibinadamu kabisa, mtu kama hutaki kusaidia hata kwa maombi just kaa kimya hata kucomment potezea sio unaongea mambo yanayoweza...
. ... Hapo mtu wangu umenena maana unapopatwa na jambo jaribu kulifanyia uchunguzi ili upate solution kamili maana wewe mwenyewe ndo unaweza ukawa source ya tatizo linalokukumba.
Kashajua usafiri wako ndo njia ya nyumbani anasevu nauli..basi j3 subiri kuchangamkiwa na kukaribishwa lunch kwa madoido kibao ili jion ajikale siti ya ubavuni hapo mpka mbezi... Sasa akili kichwan mwako
Causes ya hilo swala lako 1. Inaweza kuwa huna kazi kwa muda mrefu hivyo maisha kwako ni magumu..2. Upo single haujapata wa kukuliwaza kwa muda mrefu 3.. Kama unafamilia basi itakuta unasumbuliwa sana kwenye familia yako......sababu hizi tatu lazma ndizo naona ndizo zinazokupelekea mno kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.