Nit( national institute of transport)

Nit( national institute of transport)

Jamani kwa anayesoma nit anieleze japo kwa ufupi mambo ya muhimu pale chuoni mazingira n.k! pia kama mtu anayetaka kupanga chumba karibu na chuo bei inaweza kuwa kiasi gani kwa mwezi.Msaada tafadhari
 
Masomo gani apo yana session ya jioni au mchana? Nimechaguliwa logistic nd transport ila ruhusa kazini naona.Ka inaleta mzozo. Naomba ushauri

NACTE imeviamuru
vyuo vyote kufungwa hadi mwezi November
ili kutoa fursa kwa wanafunzi wa vyuo vyote
kushiriki ipasavyo kwenye zoezi la kupiga kura
kwenye Uchaguzi Mkuu October 25 .
 
Hii cozi ya logistics and trtansport application zake za hesabu zina ugumu wwte kwa mtu aliyesoma HKL au ni za kawaida?
 
Kwa Logistics and transport HKL unaweza kusoma, but usiwe mbovu sana kwenye hesabu, maana hesabu kwa logistics unaweza kukimbia course
 
Nit hostel zipo lkn ni chache mno mara nying wanaish watu wa diploma bacherol weng huwa wanaish nje ya chuo
 
Masomo gani apo yana session ya jioni au mchana? Nimechaguliwa logistic nd transport ila ruhusa kazini naona.Ka inaleta mzozo. Naomba ushauri

Masomo yote yana evening session na morning session..... Asubuh saa 2 mpaka saa 11 jion then wa jion wanaunganisha mpaka saa 3 had 4kasoro hv...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom