Recent content by IAfrika

  1. IAfrika

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/tanzania-to-procure-diesel-engines-as-backup-for-sgr-operations-4855518
  2. IAfrika

    Africa inahita nchi moja wapo kuwa super power wa nchi zote, la sivyo! Congo itaendelea kuonewa na kila viongozi wa vinchi vya ajabu!

    Hakuna mtu mwingine ataleta super power na amani hapa Afrika kama sio wewe. Waliotutangulia kama Nkuruma na Nyerere walishasema Umoja wa afrika ndio utaleta uhuru wetu. Shirikisho(federation) ya Afrika au Afrika Mashariki iliyoanzishwa na watu na sio wanasiasa ni mojawapo ya njia ya kuleta...
  3. IAfrika

    Afrika Kusini: Cyril Ramaphosa achaguliwa kuwa Rais kwa awamu ya pili

    Sera za DA zinakinzana na maazimio ya wengi SA na Afrika. DA huwa hawapiti 20% ya kura, Sasa hivi ANC ambayo unaita mafisadi imewapa uwezo wa kutawala SA yote na kuwa na uwezo mkubwa sana Afrika kwenye mambo kama BRICS na mambo yote ya nje. Kama ANC ni mafisadi, wote wengetolewa waweke EFF ama...
  4. IAfrika

    Afrika Kusini: Cyril Ramaphosa achaguliwa kuwa Rais kwa awamu ya pili

    What ANC has done is absurd and an abomination. Afrika ilipoteza damu na wakati wake kupigania uhuru wa Africa Kusini. Wenyewe wanawapenda hao walawiti wao hata mitandaoni wanawapenda hao walawiti wao. Wameungana na watu walipenyenza ubepari wa hali juu Afrika kupitia Africa Kusini. SA is...
  5. IAfrika

    Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    Mbona Tanzania hawakuenda kwa mahakama ya EAC kama Uganda walivyo enda huko kuwasilisha kesi ya kutumia Kenya Pipeline kusafirisha mafuta yao? Haya maamuzi yao ni ya hasira na kitoto kulipiza kisasi hivyo.
  6. IAfrika

    USA tells Russia : If you are wise America is a phenomena to avoid in war, if you want war with USA prepare someone to raise your Children

    Cheo chake ni gani? Anataka vita vya nuclear anafikiria vita vya nuclear vitakuwa one sided? Russia pia wanasema wako na hypersonic weapons ambazo marekani haiwezi kugundua angani.
  7. IAfrika

    Katiba ya shirikisho la Afrika Masharki

    EAC bunge na council wanajikokota kutunga sheria ya kuwezesha monetary union
  8. IAfrika

    Wakenya hebu nifafanulieni kuhusu Ugavana, Useneta na Ubunge huko kwenu

    MCA watamkoromea gavana. Wabunbge na maseneta watamkoromea Rais. Maeneo bunge yote ni sawa, yako na idadadi sawa ya watu inchini. Ward pia ziko hivyo. Kaunti ndio tofauti kwa idadi ya watu na ukubwa lakini maseneta wako na kura sawa kwenye Seneti.
  9. IAfrika

    Tanzania yafikiria uwezekano wa kufuta mradi wa ujenzi wa Bomba la gesi kwenda Kenya kupitia mombasa

    Mambo ya enviromental activists wasio husiana na serikali hayo. Jibu la Serikali ambayo ilitaka bomba lipitie Kenya mnalingoja?
  10. IAfrika

    Wakenya hebu nifafanulieni kuhusu Ugavana, Useneta na Ubunge huko kwenu

    Kila kiongozi ako jukumu lake la kikatiba. Ukubwa hatuujali vile ikiwa unatekeleza majukumu yako. Maseneta na Wabunge ni wawakilishi. Seneta anawakilisha county/gatuzi, mbunge anawakilisha eneo bunge. Gavana ni msimamizi mkuu mtendaji wa kaunti. Kunao pia MCAs wanawakilisha ward ambayo ni...
  11. IAfrika

    Tanzania is behind, Kenya, Uganda and Rwanda in East Africa innovation

    Mbele wapi? Waziri anashindwa kusoma kiapo
Back
Top Bottom