Recent content by i411

 1. i411

  Nimeibiwa vitu vyote vya ndani

  nimeipenda hii nikipata tatizo nao nitakutafuta
 2. i411

  Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

  huu ndo ujasiriamali sasa namiye ngojea nifanye namna nikaweke maskani kwangu kwa Babu.
 3. i411

  Serikali sasa kuna ulazima wa soko kuu Bunju au Tegeta na barabara njia mbili

  waongeze njia ya baarini tuu koko beach mpaka ununio ndo solution moja wapo hapo kwa wale wanaoenda maeneo ya town
 4. i411

  Msaada kozi zenye soko

  kasomee law au procurement hapo hautapata tabu sana mtaani kutafuta kazi na ukipata kidogo inakuwa uhakika
 5. i411

  Raia wa Tanzania waruhusiwa kuingia nchini Kenya bila kukaa karantini

  wao sibado wana corona hedge Yao ipigwe pini tuu
 6. i411

  Naomba kujuzwa mazuri na mabaya ya Starlet

  Uzuri wake kadogo dogo raisi kupaki mjini mafuta mteremko 5000 unapiga misele spare zinapatikana kiraisi na bei nafuu kipo faster siyo kama paso mabaya kipo chini chini jiandaye kuchomelea chomelea vikorokoro vinavyokongoroka barabarani unaonewa kwa sababu kagari kadogo daladala wanakufanyia fujo
 7. i411

  Ufugaji nyuki wa kisasa

  kiongozi upo vizuri.... mwaka huu nimeanza mradi wa Nyuki nimeweka mizinga 30 lakini nimetundika tuu kienyeji Nyuki waje wenyewe zishapita wiki tatu tunasubiria tuu. Niliambiwa rahisi kumbe kuna mambo mengi piya....
 8. i411

  Tofauti kati ya LandRover vs RangeRover

  Usiiogope mkuu cha msingi ujipange tuu kufanya utafiti kujuwa kila kitu kuhusu gari yako oil inatotumia na usiambiwe tuu weka sai40. Spea zipo kibao tuu Nina yangu p38 kama unainuwa gari mwanzo mwisho na unafanya service vizuri kwa wakati na ukijisi mlio usioeleweka au ukapata taazari kwenye...
 9. i411

  Je Tochi za barabarani zimetolewa?

  Msikute tochi zimeenda matengenezo South kwa miezi kadhaa
 10. i411

  Kero: Utaratibu wa ku re-new line matatizo tupu

  Yani mwanazengo inabidi uzuge zuge sana kituo ni... Yani kaofisi ni kadogo unakuta wapo kama watatu hivi na siye wanazengo kibao tunasubiri hiyo huduma mlangoni. Alafu wenzao nao wanawaletea ishu kama hizo zinamalizwa faster tukiwa tunaona lakini wanakuwa wamekaa tuu humo ndani ukiingia unawaona...
 11. i411

  Kero: Utaratibu wa ku re-new line matatizo tupu

  Wakati nipo centra polisi jana nipo kwenye mstari na wenzangu zaidi ya kumi akaja binti wa chuo analia lia tukamwambia atuelezee shida yake.... alasema kaibiwa kwenye mwendokasi kila kitu na leo anamtiani ashazungushwa tokea asubuhi saa hiyo ilikuwa tano na robo mtiani saa sita basi tukamwambia...
 12. i411

  Kero: Utaratibu wa ku re-new line matatizo tupu

  Ninawaletea experience yangu ilionitokea baada ya kupoteza SIM card yangu. Ilikuwa ya ijumaa kuu sikuiona, basi ijumaa kuu nikaamkia voda wakani jazia form niipeleke polisi service ilikuwa powakabisa. Sasa huko polisi madudu yao sijui nani alianzisha huu utaratibu na akawapa mamlaka polisi...
 13. i411

  Nini cha kufanya gari inapowasili kutoka Japan

  Gari yoyote ukinunuwa ikiwa used lazima ujiridhishe wewe mwenyewe kwa kuifanyia full service hujui yule aliyokuwa anaitumia aliitumiaje na service alifanya lini. Hapo na matairi jipange kuweka mapya yote. Labda na shocks kama hazina hali nzuri na zinakuwaga za umeme hizo.
Top Bottom