Recent content by I X 01

  1. I X 01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kaka tupandishie ata episode mbili basi tujiliwaze
  2. I X 01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mkuu unatupa story tamu na pesa juu😂😂😂
  3. I X 01

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia yawabubujisha Machozi ya Furaha watanzania

    Sema watu wanaoganya kazi ya huyu mama izidi kuwa ngumu ni hawa machawa ambao sijui wananufaika vip kusifia ujinga ujinga
  4. I X 01

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Chalamila: Kama Mtu Hamuoni Ndugu Yake Afike Polisi

    Ila chalamila ipo siku na huo upara wako utasema hallelujah tu
  5. I X 01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu kuna mtu ashawahi kufanya rollover ya hvi akatoboa?
  6. I X 01

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana

    Tarehe 29 inabidi wananchi tukamtoe lisu pale gerezani kwanza
  7. I X 01

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco goba tumewakosea nn usiku huu jamani
  8. I X 01

    JamiiForums Tanzania Je, hakuna uwezekano wa kuwa na team ya wataalamu wa ndani na wa nje ili kuufanya uchunguzi wa Rais wa awamu ya Tano

    Mimi najiuliza tj hili jeshi letu na hawa wana TIS huo uzalendo wanaojifunzaga ni upi haswa maana kwa shutma na mambo ambayo mpaka sasa yamesemwa dhidi yao na dhidi ya hii nchi wao kama wazalendo wangetakiwa wawe wameshasema neno au kutake action ila sasa labda mm ndo sijui uzalendo nini ila...
  9. I X 01

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kujenga barabarani ya chini ( Subway road ), kutokea Posta mpaka Mbezi

    Nyie endeleeni kuwa mashabiki tu uchawa sio kazi jamani mambo ni magumu mtaani… ata mwendokasi haijaisha unasema barabara za chini 😂😂
  10. I X 01

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kujenga barabarani ya chini ( Subway road ), kutokea Posta mpaka Mbezi

    😂😂😂 wakuu mnatuonaje lakini embu toeni hoja ambazo ni realistic wazee
  11. I X 01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kocha pale hamna kmmk
  12. I X 01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ila hii timu 😂😂😂😂
Back
Top Bottom