Kwa mawazo yangu wanafunzi 7000 na kitu ni wengi sana kuwahandle kwenye one direction ila yashatokea , wawachuje then watakaobakia wapelekwe secondary za serikali. Kama wakifail warudishwe.
usilete habari ambazo hazina tija kwenye dunia ya biashara .....cha muhimu TAA warekebishe mambo ambayo hayajakaa vizuri kama hizo Toilet na ziwe zina mvuto na harufu nzuri, AIC zinavuja na hazitoi ubaridi
mimi binafsi bananibore kiukweli
Leo mida ya saa nne nimebahatika kupita mitaa ya tandale, sinza na kijitonyama na hivi ndivyo hali ilivyo. Wananchi waliokuaa makundi wanasema tuungungane wanachi wote nchi nzima 2015 tuwaondoe CCM madarakani.
My take CCM going to 2015 they have to play very smart
Wana jamvi habari za asubuhi,
Naomba mwenye updates zozote za mauji ya RPC Mwanza, Barlow au mwenye site ya gazeti la Jamuhuri maana limeandika hiyo habari leo.
will appreciate
According to their research: Haininiingii akilini kuwa baadhi ya mashirika ya umma yanafanya vibaya then raisi anafanya vizuri wakati yeye ndiye kiongozi wa hayo mashirika ya umma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.