Recent content by I AM WHO I AM

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

    Acha kumchunguza Mkeo. Tena sahau simu yake. Kabla ya kumuacha jiulize je kwa Miaka hiyo 10 hujawah chepuka? Kama hujawah muache. Pili, hawezi kuwasiliana na Ex wake kama kweli umemtendea haki, unampenda na kumjali. Huyo ni mali yako na usidanganywe humu ndani ukamuacha. Mke si wa...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Joice Kiria ni kioo cha wanawake au?

    Na sasa hivi Ndoa ikimshinda atavunja nyingi sana. Wale wafuasi wake walioolewa wataanza kusema kama Joice ameshindwa mimi ni Nani? Hivi TAMWA hawawezi kumsaidia? Wanaume temeni cheche tunataka wanawake waweje kwenye ndoa.... Waache kuhangaika na wanaharakati wakatishaji Ndoa za watu
  3. I

    JamiiForums Tanzania Joice Kiria ni kioo cha wanawake au?

    Kuna haja ya DADA zetu sasa waamke. Hili la kukimbilia Seminar za Ndoa kwa wanaojiita wanaharakati wamebobea kufundisha Maisha ni Uwongo. Ndoa ni nini? Huwezi chukua taya la meno yako ya juu ukamuwekea mwingine. Hataweza kutafuna. Taya lazima zishabihiane. Huyu DADA arudie kutazama zile...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Joice Kiria ni kioo cha wanawake au?

    Kilichoniumiza ni hizo tetesi za ndoa, ameganga wanawake wengi lakini sasa yeye anafeli.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Joice Kiria ni kioo cha wanawake au?

    Jana ameonekana maeneo ya Moshi Kili Home akipata mizinga kadhaa huku anapiga kelele. Alikua ananipendeza akiwatia moyo wanawake wenzie. Kwa unywaji na kelele zile amenidisapoint kabisa. Ni haki yake kustarehe lakini atapotosha wengi
  6. I

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, nakutaarifu Dar na Arusha si salama kwa safari za usiku

    Wacha uongo kupotosha Taifa
  7. I

    JamiiForums Tanzania Jaribio la mauaji kwa Tundu Lissu: Maadui zetu wamebaini kupenyezewa "kirusi"?

    Jicho la Tatu Panya mwenye akili akikamatwa anaongezewa documents akirudi mtaani mnajiuliza kazipataje. Wazungu hawatuwezi. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. I

    JamiiForums Tanzania CCM inafaa kutuongoza tena mwaka 2020?

    Tukumbuke nchi hii ina vizazi tofauti tofauti vya CCM ukiangalia vzr kuna vizazi kadhaa vya CCM vizazi hivi vilizaliwa tofauti ktk miaka ya 1. 1977 2. 1980 3. 1984 4. 1987 5. 1990 6. 1992 (mara Mbili) 7. 1994 8. 1995 9. 1997 10. 2015(Magufulinism) CCM inavizazi zaidi ya kumi. Viongozi...
  9. I

    JamiiForums Tanzania CCM inafaa kutuongoza tena mwaka 2020?

    Ndio maana nimejaribu kuweka sifa hizo ili tujitathmini kama kuna mbadala ama kuboresha kile kidogo tulichonacho Sent using Jamii Forums mobile app
  10. I

    JamiiForums Tanzania CCM inafaa kutuongoza tena mwaka 2020?

    Kama haifai manake kuwe na chama Pinzani chenye 1. nguvu, 2. muundo stahiki wa uongozi, 3. wanachama hai yakinifu, 4. viongozi wenye sifa chanya, 5. viongozi safi wasio na tabia za upepo 6. Wamejiandaa kushika dola Sent using Jamii Forums mobile app
  11. I

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Habari Leo nimekwazika na Huduma ya Vodacom . Nilikua nataka kufanya muamala wa Benki kupitia line yangu ya Vodacom. Sikua na salio. Hivyo nikabonyeza *150*00# ili nijiongezee salio la sh 500 kusudi niweze kutumia SIMBANKING ya CRDB. kawaida lazima laini yako iwe na kama sh 250 ili utumie SIM...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Sheria ya 1/3 ya mshahara wa mtumishi imekiukwa

    Inasikitisha Serikali 1.haijatoa promotion 2.inavunja Sheria ya Makato ya moja ya tatu 3. Hii 15% imetungwa Kwa sheria ipi. Je Sheria hii inakinzana na ile 8%? 4. Wakowap wanasheria watetee raia
  13. I

    JamiiForums Tanzania Sugar production and consumption in Tanzania

  14. I

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha michepuko, je watarajiwa wa ndoa michepuko tunaizuiaje?

    Kwa wanaume waliutulia wanawake walioolewa ndio chanzo kikubwa cha mchepuko. ndio maana hawawezi changia hii mada. ila wenye tabia ya umalaya ipo kote
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mabinti amkeni mnazeeshwa na makanisa ya kiroho

    Kuna demu wa kilokole kakubania nini? Nenda Nigeria umpate wa easy go
Back
Top Bottom