Recent content by HZUBUSINESS

  1. H

    JamiiForums Tanzania Hizi ni tips za kufuata ili saa tatu usiku leo ifike haraka.

    Duh kwa umbea tu sisi tuko vizuri
  2. H

    JamiiForums Tanzania I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

    Kunyongwa haiwezekani ila mpaka sasa huwezi kuhesabu kama Chadema ipo katika huu uwanja wa siasa kikamilifu.. Labda wasubiri uchaguzi uishe ila sasa tusahau kidogo kuhusu hiyo kesi maana kila kitu kipo wazi kulingana na kauli aliotoa jamaa kuhamasisha hiyo issue. So kuachiwa kwa sasa ni jambo...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ni matangazo

    Tangazo
  4. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nime share a hotel room na rafiki yangu wa kiume

    Alikukula pole Sana 😂😂😂
  5. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AZAM MEDIA mnaweka camera mita 500 kutoka uwanjani mnatuonyesha video replay wachezaji wanaonekana wadogo kama sisimizi, hivi hamuoni makosa yenu?

    Sawa ni ujumbe mzuri kwa wahusika.. Swali je utafanyiwa kazi?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kamera za ulinzi kufungwa Kariakoo kwa gharama ya Tsh Milioni 514

    Haijalishi wataiba ama vip Ila mm nauliza Kwan kuwe na awamu katika kukamilisha Hilo swala Kwan wasimalize kabisa
  7. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha ya Samia kwenye mitungi ya gesi ni ya nini? Haya ndio mambo CHADEMA wanapinga. Msimamizi wa vyama vya siasa yupo kama kipofu na kiziwi

    Mfano huu mtungi ukiisha haijalishi pesa ipo au hamna Ila utaenda kubadilisha wapi yaan kampuni gani?
  8. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa kwanza wa Namibia Sam Nujoma amefariki akiwa na umri wa miaka 95

    Duh kumbe rais kama Hawa bado walikuwepo ambao walipigania nchi zao, hivi Kuna wengine waliobaki tujuzane waungwana
  9. H

    JamiiForums Tanzania Hawa wabongo ndugu zetu waliokuwa wanalipwa dola na kutembelea DFP ulikuwa ukimuomba kazi anakuletea dharau sasa kiko wapi?

    Haya wote hamna kazi ndo furaha yako Sasa, ndio maana hata hiyo kazi hukupata kwa sababu ya roho yako mbaya
  10. H

    JamiiForums Tanzania Lissu alikuwa mwongeaji sana na Media akiwa Makamu Mwenyekiti, baada ya kupata Uenyekiti kimyaa

    Alichokuwa anapigania ameshakipata
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Coding DEEPSEEK ni bora kuliko CHATGPT!

    Huku ni kudumazwa akili Ila inarahisisha mambo pia
  12. H

    JamiiForums Tanzania Starlink wamekuja mara mbili kuomba kutuletea huduma ya internet lakini wanazungushwa, kuna ugali wa mtu unaguswa?

    Kwa hiyo Kenya wanatumia hiyo internet? Mkenya aje atuambie
Back
Top Bottom