Recent content by Hyungnim

  1. Hyungnim

    Rais Magufuli ashiriki ibada ya Pasaka, awataka watanzania wamuombee

    Mkuu safi sana!Umeandika kweli tupu.Huu ni moja kati ya jumbe chache maridhawa nilizoonana nazo hapa jf.
  2. Hyungnim

    Mwita Waitara: Sitakubali kudhalilishwa kama Vedasto Mbunge wa CUF jimbo la Lindi

    hahaaa....umeandika maoni yako kwa ufundi mkuu Wa lugha ambao umeniacha mbavu zikiwa hoi! hofu yangu ni kuwa atajibizana nae jukwaani?wale wazee Wa miwani myeusi si watambinya sana kende/kokwa zake?au wataziponda kwa mawe na kuzisigina!CCM ni kupe!!!
  3. Hyungnim

    Matatizo yote haya kwa Tanzania wa kubeba lawama ni huyu hapa

    Uzi makini sana huu.Watu wanaandika kwa hisia kweli ni wazi wote kwa pamoja tumebamizwa vibaya na uongozi wa bwana yule.Mimi huku unyakyusani nilianza harakati za kuwalisha watu was kawaida unga was rutuba.Kupandikiza chuki dhidi ya zimwi CCM. Jana nilitia maguu kijiweni kwa mzee wangu mmoja ni...
  4. Hyungnim

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Jama mwanivunja mbavu nyie...hapa nilipo watu wanishangaa ninavokenua meno yangu makubwa huku nikisindikizwa na cheko La kiutu uzima.Maneno "kolomije na Bashite yanatawala kinywa changu.Anamletea mzaha mwanakijiji mwenza gwajima?
  5. Hyungnim

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    hahahaaaa...mkuu nimecheka hadi machozi yamenitoka.Nikisikia hako kajina kolomije najikuta nacheka tuuu ukiongeza na Daudi Bashite naishia kugalagala down kwa cheko la nguvu...
  6. Hyungnim

    Riwaya: Dunia Tambara Bovu

    poa shunie ngoja niweke sawa mambo
  7. Hyungnim

    Soga mwanana: Anko Mavi

    Mkuu kuna wakati kimba ukilizoea hutoa harufu mwanana tu!Mfano mtu akila maini walau mavi yake yatatoa harufu nzuri ajabu.Ila aliyekula maharagwe au kisamvu...akinya hayo mavi ukiyasogelea utazirai!Ushuzi wake sasa akijamba!Ndio maana gavamenti kupitia wizara ya afya imekuwa kwa muda mrrfu...
  8. Hyungnim

    Soga mwanana: Anko Mavi

    Hahaaa...mkuu patience 123 hilo ni jina la kazi!kumbuka ni kibarua hicho kilifanya mkewe anone.
  9. Hyungnim

    Riwaya: Dunia Tambara Bovu

    *JINA LA RIWAYA: DUNIA TAMBARA BOVU* *MWANDISHI: (HYUNGNIM)* Ulikuwa usiku adhimu kupata kutokea kwa mabanati na majamali ya nguvu.Jiji la Bujumbura lilitoa mng'aro uliopambizwa na taa kubwa zikizonasa ktk majengo mazuri ajabu na kufanya nakshi Fulani hivi ya kuvutia. Nyakati hizi za saa...
  10. Hyungnim

    Riwaya: Chelina

    Hafijawa Matata alidamka asubuhi na mapema kwani usiku wote kwake ulikuwa kiza cha kuogofya!naaam kaka hafijawa hakupata hata lepe la usingizi. Aliposikia milio ya jogoo kuashiria kuwa kiza kimefurushwa mbali na nuru,aliruka toka kwenye kitanda duni cha mianzi na kwa pupa akaanza kutatinga...
  11. Hyungnim

    Soga mwanana: Anko Mavi

    Alifahamika kwa jina la Anko Mavi!jina hilo la mzaha alilipata kutokana na kazi yake ya kuchimba vyoo,kuvizibua vyoo vilivyojaa lakini pia kuyabeba 'mavi'ooh ashakum si matusi nilipaswa kuandika kinyesi kwenye toroli na kwenda kuyatupa mbali...jina hilo likawa maarufu kuzidi jinale Athumani...
  12. Hyungnim

    JamiiForums vs Serikali ya Tanzania na FBI na Google

    Hula chumvi nyingi mkuu!Wale wazee wa miwani na suti nyeusi hawafai.Nyoka wenye sumu.Nani atavumilia mateso ya kubinywa kende?
  13. Hyungnim

    JamiiForums vs Serikali ya Tanzania na FBI na Google

    hahahha....bora kupigwa vibao kuliko kuwa na makosa yatakayokupeleka kubinywa kende/pumbu kwa koleo.Au kupondwa mapumbu kwa kutumia mawe!.Mimi pia nimekuwa makini,ila hapo nyuma niliteleza na kuanza kuisiliba gavamenti kwa namna hasi ...kende zangu jama.
Back
Top Bottom