Leo ndio unajua kuwa wanasiasa wanatuchanganya ? wenzio tulishashtukia kitambo. Halafu watanzania wenzangu mambo mengine tusikurupuke tu kuchangia inabidi tujiridhishe pia kabla ya kuchangia unaweza kuchangia leo kesho ukaona ulikosea
Kwa hiyo hoja hapo ni kueneza ukimwi ama matumizi mabaya ya fedha za umma ? kumbuka kuna mambo mengi ambayo yanatumia fedha nyingi za walipa kodi ambayo hayamnufaishi mtu mmoja mmoja. Kwa upande wangu mimi hata uchaguzi wala sioni faida yake maana sipati chochote kutokana na huo uchaguzi. hivyo...
Sijui kama akili yako imetimia vizuri nahisi kuna hitilafu Fulani. Vile vile jaribu kusoma na kuelewa naona hilo ndilo tatizo lako kubwa. Nadhani kuna kitu kimekuathiri. sihitaji mwenge mimi na wala siuchukii, kwani ukiwepo ama usipokuwepo kwangu hakipungui kitu. Nakuonea huruma sana. Hebu labda...
Hivi watu wanaongeaaaaaaa ? hivi kama mwenge ukifutwa wao watapata nini ? hangaikieni vitu vya msingi sio kushabikia vitu ambavyo hata wewe havikufaidishi na familia yako kama ulikuwepo basi na uendelee kuwepo. Mbona watu hmzungumzii matamasha mbalimbali ya muziki kama issue hapa ni maadili...
Wajinga ndio waliwao. Msipokuwa makini mtakuta mtu anajifukuza hata mwenyewe kwa vile hajui kinachoendelea nyuma ya pazia. TZ achana nayo kabisa usilolijua ni sawa na usiku wa kiza
Ni ulimbukeni wa watu watanzania huwa tunafuata mkumbo bila kujijua. Hata wao wajue pia kuna watu wanakerwa nao Mungu sio ndunguru na siku zote dua la kuku halimpati mwewe.
Napenda sana mimi. unajua kila tukio au tamko la viongozi hasa wa vyama hivi 2 yangekuwa yanatolewa ushahidi na watu tukaona ushahidi nadhani mambo kama haya yasingekuwa yanatokea tena. Tukumbuke kudekezana na kutowajibika kwa pande zote ndiko kunaleta mambo haya na si hapo tuu. ushahidi kama...
"Watanzania watu wa ajabu sana, wako kutetea vitu ambavyo hata anayefaidika hawamjui. Tumezoea mob saikoloji hiyo continental mi nimenunua channel zinazoshika ni 4 tu watu hawalalamiki kwa vile sio wengi walio nayo. Acheni taratibu zifuatwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.