Recent content by Hustler1

  1. H

    JamiiForums Tanzania Tambua wanyama 10 wenye kasi kuliko wote duniani

    hajui mtoa mada.mnyama mwenye kasi hapa duniani ni duma
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Maeneo Haya yanakuwa na Maradhi Haya kwa Wingi kuliko Maeneo Mengine?

    waulize watalaamu wa afya
  3. H

    JamiiForums Tanzania Yanga apangwa na Pyramid ya Egypt kwenye CAF Confederation

    nakata rufaa watupangie ruvushooting badala ya hao mafarao
  4. H

    JamiiForums Tanzania Yanga apangwa na Pyramid ya Egypt kwenye CAF Confederation

    mnajiita wa kimataifa.pambaneni
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa Rais Magufuli tafadhali jitahidini kumweleza kipi cha kusema na cha kutokisema kwani anajichanganya mno!

    huyo ni rais wa wanyonge.mwache afanye kazi hatutaki lugha fasaha hapa.tunamwelewa sana rais wetu anachoongea
  6. H

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa Rais Magufuli tafadhali jitahidini kumweleza kipi cha kusema na cha kutokisema kwani anajichanganya mno!

    hatuangalii maneno.tunaangalia matendo.mbuzi kavimba wee
  7. H

    JamiiForums Tanzania Elewa huu mtego kwanza ndio utajua biashara nzima ya Forex

    Achaneni na wabongo ingia you tube ukute nondo za kutosha, download vitabu vipo vingi tu wabongo watakuingiza chaka wengi hawajui lolote kuhusu FX, Mfano mmekariri broker mmoja tu eti Templer ha ha a the scamer!, kuna international brokers ambao wako well organized pia regulated. Mambo yote...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Njoo uone utofauti katika kukupatia zana bora za kilimo

    Tangazo lako la kishamba sana, ila zana za kilimo zimekaa poa, ulitakiwa utaje bei, location and reliable phone number hapa. Tanzania ya viwanda itachelewa sana kama ukanjanja kama huu utaendekezwa
  9. H

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    haha wanakera sana mi nimehamia HALOTELI na TTCL voda sijui wamekuaje gharama zao ziko juu kupita maelezo
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii siku hizi imekuwa chanzo kikubwa cha stress na msongo wa mawazo kwa vijana

    Big point maisha ya mtandaoni 95% ni fake haya uhalisia.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Watu dhaifu hawajawahi kujenga Taifa imara

    BIGUP,WATU MIZIGO HATUWATAKI.NCHI INAONGOZWA NA WATU HODARI.MESEJI IMEFIKA MKUU.HAO WAPIGA DOMO ACHANA NAO
  12. H

    JamiiForums Tanzania Makamanda wakiwa mahakamani leo Jumatano ya tarehe 11/09/2019

    tokea walipochaguliwa na wananchi,wamefanya kazi gani kwenye majimbo yao?
Back
Top Bottom