Miss you too jirani. Timu yetu ndio ishapangwa na Waarabu jirani.Miss yo jiranii
'Why Does it Always Raining on Me.' Song by TravisWhy always me?
Kwa hyo huko Misri msimu Wa ligi 2019/20 wameshacheza mechi 25 au!?Uzi wao umerulia sana, lazima niutinge TaifaView attachment 1228095
Kuna mkono wa mikia aisee
Team Pyramid tujuane mapemaaaaaa
Kwa matarajio hayo itabidi wenzio waendelee kuumwa tu sasa si watakufa hawa!?. Kuwa na huruma kidogoAma kweli ugonjwa wa Du Songo hauna tiba zaidi ya Yanga. Vumilieni siku tukitolewa mtapona. Teh teh.
Mkuu kufa hawafi ila cha moto wanakipata. 😀😀Kwa matarajio hayo itabidi wenzio waendelee kuumwa tu sasa si watakufa hawa!?. Kuwa na huruma kidogo
Magoli yetu Yale Yale TUKIWA TAIFA. "penalty"Yanga tunashinda goli 4 kwa 0 uwanja wa taifa
Sawa imebahatisha kucheza na timu kubwa kama yanga...tarehe 27 ndo itafahamika nani mkubwa nani mdogo..kama hujui bei ya mchezaji mmoja wa pyramid unanunua timu yote ya yanga na kulipa yale madeni ya kina dantetimu kali Misri Ni Zamalek na Al Ahly , nyingine zilizobaki ni mbovu, hiyo pyramid hata wewe umeijua mwaka huu haina historia yoyote imebahatisha kucheza na timu kubwa kama Yanga
Tuanze kutafuta jezi mapemaaaa[emoji3577]Tupo
Hahaaah mtani tulieni..kiukweli timu yenu inapitia kwenye wakati mgumu sana,ebu fikiria mnaenda kukutana na pyramid then mkitoka huko mna mechi nne mikoani ambako huko mtakutana na mbao,alliance,mbeya cc na prison..nakuhakikishia mtani hapo katikati mtakutana na maumivu sanaWacha kurukaruka bana Mtani.