Recent content by hussler

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya kuchakata Alizeti

    Wakuu naomba mwenye uzoefu na hii filter naomba anijulishe, 1. Ubora wake kwenye kuchuja mafuta ya alizeti 2. Changamoto zake 3 bei yake ikiwa mpya dukani yenyewe uwezo wa 100 litres kwa saa.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya kuchakata Alizeti

    Nipe namba ya mtalamu aliyekufungia mashine aje anifungie ya kwangu mkuu nipo arusha
  3. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta viwanda vya chakula cha kuku Dodoma na Singida

    Hivi naweza kusaga tu mashudu nikatengeneza chakula cha kuku
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza chakula cha mifugo

    Naomba mwenye uelewa na biashara ya kutengeneza chakula cha mifugo na pellets anisaidie. Ikiwa rawmaterial ni pumba na mashudu.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kodi ya kichwa irudishwe

    Na pia ile ya baiskeli umenikumbusha mbali
  6. H

    JamiiForums Tanzania Arusha hakuna ukarimu kwa wateja

    Arusha kuna influence kubwa sana ya nairobi kutokana na ukaribu wa miji hii miwili.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya alizeti

    Naomba kujua kati ya "Refined and non Refined "sunflower oil ni yapi mazuri.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kutengeneza bati

    Wakuu mwenye uelewa na biashara ya kutengenez bati, "roll forming " naomba tupeane uzoefu. 1. Roll forming machine bei gani 2. Inatengeneza aina ngapi za bati glazed etc 3.uagizaji wa coils na kodi zake. 4.coil moja ntapata mita 3 urefu na upana mita moja ngapi 5.soko la kilimanjaro liko vpi...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Je naweza kupata mkopo benki kwa dhamana ya shamba?

    Utalia kilio cha mbwa, achana na mkopo kama ndiyo unanza biashara
  10. H

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kenya wafidiwa

    Wafugaji wa kenya waliouziwa ng'ombe zao baada ya kuvuka mpaka na kuingia Tanzania, wamelipwa zaidi ya sh billion moja, kila ngombe mmoja serikali ya kenya imelipa sh million moja.
  11. H

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda How much is a kilogram of maize germ in Kampala?

    How much is a kilo of maize germ in Kampala?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye kuhitaji karanga nyekundu na nyeupe anakaribishwa

    Weka bei
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu bei ya pumba ya mahindi

    Nipo arusha mkuu
  14. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu bei ya pumba ya mahindi

    Na mashudu ya alizeti bei gani
Back
Top Bottom