Je naweza kupata mkopo benki kwa dhamana ya shamba?

DENLSON

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
944
1,252
Kama kichwa kilivyo hapo juu nina shamba langu heka 50 lina document zote naitaji mkopo wa kilimo Je ni benki gani ina weza nipa mkopo haraka na limit ni kiasi gani vipi kuhusu riba nk
 
Kama kichwa kilivyo hapo juu nina shamba langu heka 50 lina document zote naitaji mkopo wa kilimo Je ni benki gani ina weza nipa mkopo haraka na limit ni kiasi gani vipi kuhusu riba nk
Unaweza lakini pia unahitajika kuwa na documents nyinginezo... Fika benki husika kwa maelezo zaidi
 
Unaweza lakini pia unahitajika kuwa na documents nyinginezo... Fika benki husika kwa maelezo zaidi
Dodoso kidogo kunisaidia maana ndio njia pekee iliyobaki kunikwamua vyeti vikae kabatini tu hakuna nanma
 
Dodoso kidogo kunisaidia maana ndio njia pekee iliyobaki kunikwamua vyeti vikae kabatini tu hakuna nanma
Malengo ya Mkopo
Marejesho
Vyanzo vingine vya mapato
Leseni ya biashara
TIN
Aina ya biashara
Mapato kwa mwezi
Faida
Mkataba wa pango (si chini ya miezi sita)
Makubaliano na FAMILIA
Kiapo cha mahakama au mwanasheria nknk
Kumbuka benki hawatoi mkopo kwa biashara mpya.. Bali wanatoa mikopo kwa aliye tayari kwenye biashara
 
Mkuu kama unashamba na nguvu ingia shamban jifungue huko mtaji upate huko huko shamba

Mkopo sio kabisa kwa biashara unayo anza
 
Malengo ya Mkopo
Marejesho
Vyanzo vingine vya mapato
Leseni ya biashara
TIN
Aina ya biashara
Mapato kwa mwezi
Faida
Mkataba wa pango (si chini ya miezi sita)
Makubaliano na FAMILIA
Kiapo cha mahakama au mwanasheria nknk
Kumbuka benki hawatoi mkopo kwa biashara mpya.. Bali wanatoa mikopo kwa aliye tayari kwenye biashara
we jamaa chenga sana, vitu vingi hujui vizuri lakini unajifanyaga mjuaji sana! hapo ulitakiwa kuonyesha ni kwa nn Shamba lake linaweza kumpatia mkopo na sio hvuo vitu ambavyo hata ambae hana Shamba kama dhamana anaweza pata!
hujui vitu vingi lakini unajifanyaga unajua, nakuonaga hata kwenye magari hvyohvyo yaani unaweka ujanjaujanja mwingi lakini hakuna kitu
 
Back
Top Bottom