Recent content by husseynmramba

  1. H

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki akumbushia alivyotekwa na mambo aliyofanyiwa

    Hawa tatzo ni mihemko tu wala hawafuatilii mamb wanaon ufahari kuplay victim mindset ili watu wawahurumie waone wanaonewa, na hata kuchanganua mambo hawawez wameshatekwa kihisia na kifikra......wao ni kupayuka kila mtu akigusa upande wao, yani hawashtuki kwa nn hzo habr zinaletwa nyakati hizi?🤦🏿‍♂️
  2. H

    JamiiForums Tanzania Imagine mwanamke anapoteza maisha kwenye maandamano Kenya kama hivi ila Tanzania midume inakua chawa kwasababu ya uoga

    Naona sshv mmezidi matumizi ya neno 'chawa' kama self defense na kuplay victim...kwa akili/fikra zenu zilizofungwa msitake kila mtu awaze kama mnavyofikiri nyie...hamko serious na kuangalia maswal sensitive mnaleta ushabik na kuchagua upande, wewe kama unaona huna amani nenda kenya hii nchi...
  3. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kundi la “Wachokonozi” wamekamatwa na watu waliodai kuwa ni Askari Polisi katika eneo la Maji ya Chai, Arumeru, Arusha

    Tatizo wimbi la vijana huku mtandaoni kila mtu ni expert kweny siasa yani mtu akiwez kuleta kahoja tofauti unaonekana genious afu ubaya wengi wao wala hawajui chochote kuhus maswala kisiasa, uongozi Na hata maswal ya kiserikali yanavyoenda upinzani wameshawaingiza kweny mfumo kuwa kuchukia...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Twendeni kwenye page za FIFA na CAF tukaishataki Tanzania kuingiza siasa kwenye mpira ifungiwe Ili taifa likombolewe

    Yan kama manyumbu hawan kazi ya kufanya hawajitambui ni ushabiki tu
  5. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiyo Rais bora kabisa

    Mkuu mm sijakataa hilo, hii hali ya maisha isiwe ndio advantage ya ww kuhadaiwa mana kwa wetu wengi hawajui na wala hawafatilii serikali inafanya nn na kiuhalisia mambo mengine wala huyawez kuona directly kuhusu mipango na maendeleo yanayofanyika, hii ni process ndefu na kama unavyojua inchi...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiyo Rais bora kabisa

    Au sio, ww umeshaingia kweny mfumo wao siwez minyana na ww coz unangalia mambo kwa lense ambayo umeshalishwa na kukaririshwa na wapinzani (plus na vibaraka wao waliowatuma) ila bigger picture matatzo yapo kwel ila wala hayak kama unavyoaminishwa ww na ukwl utabaki pale pale wameshafanikiwa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiyo Rais bora kabisa

    Hawawez kukuelewa ila ipo siku siku watakuelewa, mtihani anao ila mpka sasa amejua kucheza nao kwa kila namna anavyochezewa na kupangua punch zote kupigilia misumari
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tuchambue nani mtetezi wetu uchaguzi ukifika. Serikali iliyopo madarakani haitakubali kukosolewa!

    Nan kakuambia haitaki kukosolewa? heb acheni kupush narrative zenu kwa kulazimisha na kutaka kufanya serikali ionekane ni onevu(wababe)....yani hiz hoja zimekaa kishabiki tu alafu waonyesha hujui chochote hujui siasa na michezo yake kwa hawa wanasiasa wanayoicheza na haya ndio madhara kushinda...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kama kigogo wa juu wa chombo cha dola, bank statement yake inaanikwa hadharani huku ikionyesha miamala inayofanya watu wahoji; je, nini kinaendelea?

    Bro Bro tatizo ya haya maswala watu wameshachagua upande na ameshajaa chuki so kila kinachotekea wanataka kujustfy kwa namna yeyote na nguvu yote to feel better for themselves wajione wako sawa na mtizamo wao, yani saa nyengin ni ujinga mtupu mtu kushikwa akili na bila kuchanganua mambo watu...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anawapigania watu ambao hawana akili timamu. Ni heri awaache tu kila mmoja ateseke kivyake

    Siku zote anaye jiona anaakili na kushutumu wenzake (kuwa hawana akili) huwaga siku zote yeye ndio hana akili, na mtu mwenye akili hawez support kibaraka mwenye uchu wa madaraka kiasi kwamba yuko tayari aharibu amani ya nchi ili kutimiza matakwa yake binafsi na waliomtuma Chuki sio kichocheo na...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Lawama zote za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu atapewa John Mnyika kuliko hata aliyeshupalia 'No Reforms No Election'

    Hichi chama kwa bahati mbaya kimejitekea watu wenye chuki tu na kushikwa akili ambao hawana chochote zaid kwenda na upepo mana kikubwa wanachopenda na huu mchezo tu hawajali kuhusu ukwl wala kuangalia maswala ya msingi na hata kubadilishana maneno kwa hoja we ukija na hoja yako tu wao...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji suluhisho wa Home theater yangu Sony Home theater Dz 650, kama una Fundi mzuri wa sony nisaidieni

    Nimeburudika na mziki wangu muda mrefu ila sasa hivi inaleta shida coz nikiwasha inaakaa kidoo linakuja neno "PROTECT" nimefuatilia hii inaonyesha either kuna shoti zile spika zake au kwenye decorder (deki) ila inaonyesha hili ni tatizo dogo tu linaweza kutatuliwa mara moja ningependa kujua...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ningependa kujua kuitwa hazina inaashiria kitu gani na ina maana gani?

    Ndio hapo mkuu, alafu cha ajabu hiyo namba iliyotuma ujumbe haipatikani siku zote na kuna namba mbili zimewekwa kwenye ujumbe huo ukipiga hapokei (anakata anasema tuma msg) na ukituma message hajibu Mimi sipendi miujiza hio ndio mana nina wiki ya pili wala sijafuatilia ila nimeona niseme hili...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ningependa kujua kuitwa hazina inaashiria kitu gani na ina maana gani?

    Habari zenu wadau, nimetumiwa ujumbe kwenye namba zangu mbili tofauti kuwa nilitafutwa muda flani na hawakunipata kwa hiyo wananiomba nifike kwenye ofisi ndogo za hazina ya mkoa. Mimi binafsi ningependa kujua je hii inawezakana kuwa ni kuhusu masuala ya ajira? Je, watumishi wote wanaoajiriwa...
Back
Top Bottom