J
Njia nzuri ya kupunguza kasi ya kuzeeka (si kuzuia uzee) ni; (a) Usile/kuitwa sana (hakikisha unapokula ugawe tumbo lako sehemu tatu; 1-chakula 2-maji (kinywaji sio pombe) 3-nafasi tupu (upate balance ya kupumua vizuri) (b)Epuka uzinzi (ndani ya ndoa hakuna shida) (c) hakikisha ndani ya kila...
Mapenzi popote maana yake zinaa ni popote! Wazinifu wanaweza kuonekana washauri wazuri kumbe ushauri was 100% uzinzi. Ndoa si popote...inahitaji utaratbu maalum wenye ridhaa ya wazazi na Mungu pia
Kwa uhalisia asilimia kubwa ya wanaadamu hawakiogopi kifo! M/damu huwezi kuogopa kufa kwani hakijui! Anachokiogopa ni kuyakosa maisha ambayo anayajua na anayo mipango mingi na matarajio!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.