Recent content by Hussein Bashe

  1. H

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Mara nyingi mifumo rasmi ya Serikali ina gharama kubwa kitu cha Tsh 1 kinakuwa mara mbili ama tatu ya gharama halisi. Jamii zetu zina mifumo ya asili na mara nyingi mifumo hiyo imekua ya manufaa sana kuliko rasmi ya kiserikali.
  2. H

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    Duh huu Si Ubinadam Ingawa Binafsi Siungi Mkono Mgomo Wa Madaktari But huu Ni UNYAMA kumfanyia Binaadam Jambo Kama Hili It's Important Serekali Ifanye Uchunguzi Nimeona Picha za Huyu Brother Ameng'olewa Kucha Za Mkononi kwa Plaizi Serekali yetu inawajibu Wa Kulinda Usalama Wa RAIA uchunguzi...
  3. H

    Regia Mtema is No More!

    Ndg Zangu it's Sad news to loose a young,enegertic,objective,young Tanzanian Like Mtema ,she was Objective and Honest Young Politician, Nawapa Pole sana Ndg zetu wa Chadema I Still Rember her last Thread here in Jf.poleni sana chadema kwa Msiba hui Poleni Saba wana Morogoro wana Ifakara Mungu...
  4. H

    Bashe ajipanga kugombea Igunga

    Wana Jf naomba nitumie nafasi hii kusema sina NIA,UTASHI WA KISIASA,kugombea jimbo la Igunga wala Jimbo lingine lolote Tanzania zaidi ya Jimbo la Nzega mungu akinifikisha salama 2015, reason nitakua nimesaliti wana nzega,nitakua nimeenda kinyume na dhamira yangu.Kwahiyo nisema hizi tetesi si za...
  5. H

    Ukatiri na unyanyasaji wa mbowe wadhihirika

    Duh katika Pita pita yangu humu ndani hii ni kali duh tuna kazi kweli kweli
  6. H

    UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

    Ha ha ha ha ha ha ha ha ha Kaka mpaka leo unakumbuka majibu yangu?na kura alinipa huyo mzee kama unakumbuka maana yake aliridhika na majibu alopata ,usipotoshe sikufura bali nilitabasamu na kuwakumbusha wana nzega jinsi mbunge wetu kaka seleli kamati ilimsaidia angalau akajenga kale kahoteli...
  7. H

    UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

    Hussein M Bashe
  8. H

    UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

    William (FMES) let us agree to dis agree katika hili nisingependa kuendeleza Mjadala Huu,mm ni Muumini wa TIME yote haya Tunayoyajadili leo utafika wakati wake wa kuyajadili ,Swala la Pesa za EPA na Mzee Malecela Tusubiri kama walivotueleza CDM ktk Mikutano yao ushahidi Utatolewa ktk Kesi ya...
  9. H

    UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

    William (FMES) let us agree to dis agree katika hili nisingependa kuendeleza Mjadala Huu,mm ni Muumini wa TIME yote haya Tunayoyajadili leo utafika wakati wake wa kuyajadili ,Swala la Pesa za EPA na Mzee Malecela Tusubiri kama walivotueleza CDM ktk Mikutano yao ushahidi Utatolewa ktk Kesi ya...
  10. H

    UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

    FMES, Nikuombe jaribu kuficha hasira zako kwa Lowassa. Haki na Uhuru wa mimi kumuunga mkono LOWASSA akitangaza NIA, na KUTEULIWA na chama changu ni haki yangu ya Kikatiba kama ilivyokuwa haki yako mwaka 2005 kumuunga mkono Mzee Malecela. Nikuombe uheshimu haki yangu ya kutoa maoni yangu...
  11. H

    UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

    Ndg yangu Lampard acha Upotoshaji, Nikujibu kwa Ufupi: Sikweli kuwa nina mdogo wangu aneitwa IBRAHIM anaesoma UDOM, mdogo wangu Ibrahim amemaliza Mzumbe na sasa yupo Mtaani akitafuta ajira kama Vijana wengine wa Kitanzania. Hoja ya kwamba nina jeraha, ama kinyongo, ama chuki nayo ni...
  12. H

    UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

    Wana JF heshima kwenu, Sijakuwepo JF kwa muda kutokana na kutingwa na shughuli lakini nimeona katika hili nimjibu LAMPARD na kutoa ufafanuzi kidogo
  13. H

    Mapya kuhusu Bashe: Masha anatumikia rais gani?

    Nyunyu ndg yangu nzg ni Nyumbani nitandelea kushirikiana na wana Nzega na Imani yao kwangu itaendelea kuwepo,hamna shaka na wajibu kwa wana nzg nitaendelea kushirikiana nao
  14. H

    Mapya kuhusu Bashe: Masha anatumikia rais gani?

    Hi JF Ndg zangu nimekua msomaji zaidi ktk Post zinazonihusu,na jana jioni nilipopitia hapa nikaona kuna umuhimu wa kuweka Record saw sawa juu ya jambo hili.. Nilitaka kuweka Record sawasawa ktk makala hii ya kaka yangu kubenea na jana nilimtumia sms ili kufanya marekebisho na watanzania...
Back
Top Bottom