Mapya kuhusu Bashe: Masha anatumikia rais gani?

Kweli maisha yetu yapo kwa dalali akisubiri wateja hauchelewi kugeuziwa kibao at anytime ukaambiwa wewe sio raia wa tanzania
 
(1) Masha Kapinga kauli ya Chairman wa CCM sio Rais
(2) Wote hawajui Sheria: hata bila kukana Uraia Bashe ni Raia as he was Born in TZ, kama angetaka Uraia wa Somalia ndo angeukana wa TZ, au kama wazazi wake wangekuwa wabongo then yeye akazaliwa somalia alipaswa kuukana wa somalia ili apate uraia wa TZ.hivi kama angekaa kimya ina maana angekuwa hana Uraia wa nchi yoyote??
(3)Bashe wa Rostam vs Ridhwan Kikwete wote "dugu moja" na sote tunajua ndugu wakigombana shika jembe ukalime.
(4) Huo ni mtindo wa CCM KUTUFANYA tujadili minor issues na kuacha issue muhimu

(5) Kubenea ameanza "kutia Tembo maji " awe anafanya uchunguzi, Bashe ni mzaliwa wa Tanzania.

Songoro;
hapo wala siyo swala la kujua sheria, ni swala la common sense tu. Hata babu yangu aliyeko kijijini na hajui aeiou hawezi kufanya hilo kosa, japo hajui kusoma na vilevile hajui sheria
 
Hi JF
Ndg zangu nimekua msomaji zaidi ktk Post zinazonihusu,na jana jioni nilipopitia hapa nikaona kuna umuhimu wa kuweka Record saw sawa juu ya jambo hili..

Nilitaka kuweka Record sawasawa ktk makala hii ya kaka yangu kubenea na jana nilimtumia sms ili kufanya marekebisho na watanzania wasipotoshwe,ktk makala yake amesema kwamba nimezaliwa somalia,na Binafsi mm nafahamu kwamba si RAIA wa Tz wa Kuzaliwa,haya ni makosa mengine makubwa yanayofanywa either kwa makusudi au bahati mbaya.

Mimi ni Mzaliwa wa Tanzania,na Ni Mtanzania by Birth na hoja hii ya kuhusu Uraia wangu kumekua na Upotoshaji Mwingi sana ambao umefanyika,inawezekana umekua ukifanyika Makusudi ama Bahati Mbaya.
Mwisho naomba ieleweke,mm ni RAIA HALALI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TZ,wazazi wangu ni Raia halai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Heshima mbele mkuu,
Kwanza nakupa pole kwa majeruhi ya kisiasa yaliyokupata nadhani kuna mafunzo mengi sana unayapata kutokana na hiyo experience. Pili kuna mambo yamejitokeza ingelifaa ukatufafanunulia:-
a. Je wazazi wako wote wawili walizaliwa Somalia? Kama hapana je ni kwanini mmoja wao hakukuweka katika passport yao ya Tanzania?
b. Kama wewe ni raia wa Tanzania then kwanini CCM hawakujua au kufahamu hayo yote tangia chini ulipokuwa ukipewa dhamana ili kuepusha aibu na kejeli ambazo umezipata huko juu?
c. Kama umeshakuwa approved kwamba wewe ni raia je kwanini CCM wasifanye an emergency meeting kutengua uamuzi wao wa kumteua yule jamaa aliyefoji jina la mtu mwengine na kulitumia yeye (Dr Hamis )?
d. Kwanini CCM haijakuomba radhi mpaka sasa kwa haya yaliyotokea?
e. Nini mipangilio yako ya baade kwani inaelekea utakuwa katika kipindi kigumu sana kama mbayuwayu akishinda tena urais maana kama hupatani na riz-one then nadhani system itakuona ni adui tu na maisha yako kisiasa yatakuwa magumu.

Pole sana mzee
 
Hi JF
Ndg zangu nimekua msomaji zaidi ktk Post zinazonihusu,na jana jioni nilipopitia hapa nikaona kuna umuhimu wa kuweka Record saw sawa juu ya jambo hili..

Nilitaka kuweka Record sawasawa ktk makala hii ya kaka yangu kubenea na jana nilimtumia sms ili kufanya marekebisho na watanzania wasipotoshwe,ktk makala yake amesema kwamba nimezaliwa somalia,na Binafsi mm nafahamu kwamba si RAIA wa Tz wa Kuzaliwa,haya ni makosa mengine makubwa yanayofanywa either kwa makusudi au bahati mbaya.

Mimi ni Mzaliwa wa Tanzania,na Ni Mtanzania by Birth na hoja hii ya kuhusu Uraia wangu kumekua na Upotoshaji Mwingi sana ambao umefanyika,inawezekana umekua ukifanyika Makusudi ama Bahati Mbaya.
Mwisho naomba ieleweke,mm ni RAIA HALALI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TZ,wazazi wangu ni Raia halai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Heshima ndugu na karibu tena jamvini.

Bashe, simamia haki yako na ikibidi ufatilie haki hiyo hadi mahakamani. Upotoshaji mwingi uliotokea nasi kuusoma ni wa makusudi, hamna upotoshaji ulio wa bahati mbaya!! Kama wasemaji wote waliotoa madai ya utata wa uraia wako walikuwa hawajui kitu au kutokuwa na uhakika na kitu, basi wasingetakiwa kutoa maneno yoyote mbele ya vyombo vya habari kuongezea utata. "No Comment" au kuwa "hawana taarifa kamili" vingeliwatosheleza.
 
Crap!..... Huyu jamaa kakosa masuala ya kuandika...au alikuwa anajaza gazeti!
 
Binafsi safari hii siko interested sana na kama Bashe kama ni raia au si raia kwani Masha ameshathibitisha kwa mamlaka aliyo nayo. Ila nimevutiwa na mchakato wa kuthibitisha uraia wa Bashe.

Kwamba Bashe aliandika barua kwa Masha akilalamikia "upotoshaji" wa uraia wake uliofanywa na CCM (hasa Chiligati) kwani ndiye aliyeonekana na kusikika hadharani akitoa maamuzi ya NEC dhidi ya Bashe, japo Bashe amedai hivi karibuni kuwa Chiligati alijitungua aliyosema na hakutumwa na CCM. Huu ujasiri sio wa kawaida lazima kuna kitu hapa.

Kikubwa kilichonivutia ni huruma, uharaka na ujasiri wa Ndg Masha katika kujibu barua ya Bashe. Je Wenje yule mgombea ubunge wa CHADEMA Nyamagana naye akimwandikia barua Masha dhidi ya upotoshaji wa uraia wake atamjibu kwa uharaka na huruma kama alivyofanya kwa Bashe na nakala kuipeleka CHADEMA?

It leaves a lot to be desired!
 
Heshima mbele mkuu,
Kwanza nakupa pole kwa majeruhi ya kisiasa yaliyokupata nadhani kuna mafunzo mengi sana unayapata kutokana na hiyo experience. Pili kuna mambo yamejitokeza ingelifaa ukatufafanunulia:-
a. Je wazazi wako wote wawili walizaliwa Somalia? Kama hapana je ni kwanini mmoja wao hakukuweka katika passport yao ya Tanzania? WAZAZI WANGU MMOJA ALIZALIWA TANZANIA MWINGINE ALIZALIWA SOMALIA,KWANINI MMOJA HAJANIWEKA KTK PASPORT YAKE,NISINGEPENDA KUJIBU JUU YA HILO LAKINI NADHANI NI SWALA LA UFAHAMU HAWAKUONA UMUHIMU WA KUNIWEKA MM AMA NDUGU YANGU YOYOTE.
b. Kama wewe ni raia wa Tanzania then kwanini CCM hawakujua au kufahamu hayo yote tangia chini ulipokuwa ukipewa dhamana ili kuepusha aibu na kejeli ambazo umezipata huko juu? HILI NI GUMU MIMI KUJIBU KWANINI HAWAKUJUA,
c. Kama umeshakuwa approved kwamba wewe ni raia je kwanini CCM wasifanye an emergency meeting kutengua uamuzi wao wa kumteua yule jamaa aliyefoji jina la mtu mwengine na kulitumia yeye (Dr Hamis )? TIME BAD NA SI PRACTICLE KUFANYA HILO UNALOFIKIRIA NDG YANGU
d. Kwanini CCM haijakuomba radhi mpaka sasa kwa haya yaliyotokea?HAIJANIOMBA RADHI KWAKU SIJAWAOMBA WANIOMBE RADHI,BUT WANAOTAKIWA KUOMBWA RADHI NI WANANCHI WA JIMBO LA NZEGA AMBAO NILIKUA NAWAWAKILISHA JUU YA UTASHI WAO WA KUCHAGUA KIONGOZI.
e. Nini mipangilio yako ya baade kwani inaelekea utakuwa katika kipindi kigumu sana kama mbayuwayu akishinda tena urais maana kama hupatani na riz-one then nadhani system itakuona ni adui tu na maisha yako kisiasa yatakuwa magumu.KAKA SIMFAHAMU MBAYUWAYU,BUT ABT RIZ SINA UGOMVI NAE,SYSTEM HAIWEZI KUFANYA MAISHA YANGU YA KISIASA KUWA MAGUMU BCS MM SI ADUI WA SYSTEM.

Ndg yangu nadhani nitakua nimejibu maswali yako.
Mungu akubariki,mungu aibariki JF
 
Mkuu Bashe,

Nilipita Nzega kama miezi miwili nyuma, kwa kweli wana nzega wanakukubali sana... Kwa hali hii una mpango wowote wa kuwatumikia wananchi hapo mbeleni?
 
Nyunyu ndg yangu nzg ni Nyumbani nitandelea kushirikiana na wana Nzega na Imani yao kwangu itaendelea kuwepo,hamna shaka na wajibu kwa wana nzg nitaendelea kushirikiana nao
 
Heshima mbele mkuu,
Kwanza nakupa pole kwa majeruhi ya kisiasa yaliyokupata nadhani kuna mafunzo mengi sana unayapata kutokana na hiyo experience. Pili kuna mambo yamejitokeza ingelifaa ukatufafanunulia:-
a. Je wazazi wako wote wawili walizaliwa Somalia? Kama hapana je ni kwanini mmoja wao hakukuweka katika passport yao ya Tanzania? WAZAZI WANGU MMOJA ALIZALIWA TANZANIA MWINGINE ALIZALIWA SOMALIA,KWANINI MMOJA HAJANIWEKA KTK PASPORT YAKE,NISINGEPENDA KUJIBU JUU YA HILO LAKINI NADHANI NI SWALA LA UFAHAMU HAWAKUONA UMUHIMU WA KUNIWEKA MM AMA NDUGU YANGU YOYOTE.
b. Kama wewe ni raia wa Tanzania then kwanini CCM hawakujua au kufahamu hayo yote tangia chini ulipokuwa ukipewa dhamana ili kuepusha aibu na kejeli ambazo umezipata huko juu? HILI NI GUMU MIMI KUJIBU KWANINI HAWAKUJUA,
c. Kama umeshakuwa approved kwamba wewe ni raia je kwanini CCM wasifanye an emergency meeting kutengua uamuzi wao wa kumteua yule jamaa aliyefoji jina la mtu mwengine na kulitumia yeye (Dr Hamis )? TIME BAD NA SI PRACTICLE KUFANYA HILO UNALOFIKIRIA NDG YANGU
d. Kwanini CCM haijakuomba radhi mpaka sasa kwa haya yaliyotokea?HAIJANIOMBA RADHI KWAKU SIJAWAOMBA WANIOMBE RADHI,BUT WANAOTAKIWA KUOMBWA RADHI NI WANANCHI WA JIMBO LA NZEGA AMBAO NILIKUA NAWAWAKILISHA JUU YA UTASHI WAO WA KUCHAGUA KIONGOZI.
e. Nini mipangilio yako ya baade kwani inaelekea utakuwa katika kipindi kigumu sana kama mbayuwayu akishinda tena urais maana kama hupatani na riz-one then nadhani system itakuona ni adui tu na maisha yako kisiasa yatakuwa magumu.KAKA SIMFAHAMU MBAYUWAYU,BUT ABT RIZ SINA UGOMVI NAE,SYSTEM HAIWEZI KUFANYA MAISHA YANGU YA KISIASA KUWA MAGUMU BCS MM SI ADUI WA SYSTEM.

Ndg yangu nadhani nitakua nimejibu maswali yako.
Mungu akubariki,mungu aibariki JF

:confused2: Moderator hapa sijaelewa kitu ila asante mkuu nadhani hili tatizo la kiufundi
 
Hi JF
Ndg zangu nimekua msomaji zaidi ktk Post zinazonihusu,na jana jioni nilipopitia hapa nikaona kuna umuhimu wa kuweka Record saw sawa juu ya jambo hili..

Nilitaka kuweka Record sawasawa ktk makala hii ya kaka yangu kubenea na jana nilimtumia sms ili kufanya marekebisho na watanzania wasipotoshwe,ktk makala yake amesema kwamba nimezaliwa somalia,na Binafsi mm nafahamu kwamba si RAIA wa Tz wa Kuzaliwa,haya ni makosa mengine makubwa yanayofanywa either kwa makusudi au bahati mbaya.

Mimi ni Mzaliwa wa Tanzania,na Ni Mtanzania by Birth na hoja hii ya kuhusu Uraia wangu kumekua na Upotoshaji Mwingi sana ambao umefanyika,inawezekana umekua ukifanyika Makusudi ama Bahati Mbaya.
Mwisho naomba ieleweke,mm ni RAIA HALALI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TZ,wazazi wangu ni Raia halai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pole kwa yakliyo kukuta . Sheria ya uraia kwa mtu ambaye wazazi wake si raia wa Tanzania wa kuzaliwa, wanapoomba uaraia wa Tanzania na kupewa haki hii haiwahusu watoto wao waliozaliwa kabla ya kupata uraia. Watoto wanabakia na uraia wa mwanzo wa wazazi. Ni jukumu la mtot kuukana uraia wa wazazi wake anapofikia umri wa miaka 18. Haya hugndulika mara nyingi baadaye kutokana na kuwa raia wa kuzoeleka tu kisheria unabaki si raia. Sasa je ulizaliwa baada ya baba yako kupat uraia wa Tanzania. Kma ni hivyo kuna watu wenye bifu nao, la omba uraia. Je ni kweli uliukana uraia wa Somalia ukiwa na miaka 25? Kwanini, wakati wewe ni raia wa kuzaliwa kama unavyodai. So long wamekusafisha vuta pumzi kama Kikwete 2015 si mbali.
 
Lakini si amesema mzazi wake mmoja ametokea Tanzania?
 
kutokana na makala hiyo, picha inayojitokeza ni kwamba masha anatumikia 'cabinet' ya el na ra. Na ndiyo wanaompa nguvu, hasa ikizingatiwa kuwa bashe ni mtu wa ra. sioni picha nyingine hapa.

you have hit the nail on the head!!
 
Kama serikali inapambana na watu wasio raia,basi wapo wengi sana-Na BASHE hakika sio raia kabisa,ni msomali kama Kinana
 
Back
Top Bottom