Naomba nijuzwe kuna utofauti gani mtu akiomba NACTE au TCU?
Na je NACTE wanaitaji watu kuanzia ngazi gani na TCU wanaitaji kuanzia ngazi gani pia?
N;B kama nimekosea sehemu nisamehe ila naomba majibu sahihi fatadhari!
AHSANTENI MUWE NA MCHANA MWEMA.
Samahani kiasi naomba nijuzwe juu ya utofauti wa kuomba nacte na tcu upo wapi?
Na hata ukitaka kuomba kwa ngazi ya cheti pia lazima uombe tcu au uombe nacte?
Marehemu alidimama kituoni anasubiri daladala na dereva alikuwa speed sana na mbele kulikuwa na humps na alipomgonga alikimbiza gari yake hospital akaucha mwili wa marehemu chini ukivuja na damu. Alimgonga saa kumi na mbili jioni na hakuweza kumchukua ili amuwahishe hospital mpaka saa tatu za...
Nilienda chuo flan hivi dar kuomba nafasi ya kusoma katika chuo chao,
Nikalipia form ya kujiunga na pesa ya nacte na wakanifanyia maombi kweli kwenye CAS na wakanitumia user name na password ya CAS.
sasa wameniambia nilipie na ada kabisa bila nacte kutuma majina yetu kama tumechaguliwa...
Kwanini wapare tu?
Jana nilikuwa nawaambiwa wazazi wangu juu ya kuwa nina mchumba walifurahi sana walivyoanza kuniauliza jina lake na asili yake nilivyowatajia tu kabila la huyo binti kama ni mpare ambaye ndiye mke mtarajiwa walibadirika wakaanza kusema maneno ya tofauti tofauti aiseee nilikaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.