Mkuu kutokana na statement yako unamachungu ya kuwa mkenya lakini nafasi Hamna kwaiyo pole Sana mkuu .labda tz wakubali uraia Pacha ili upate nafasi ya kuwa mkenya,sio vizuri jirani kuteseka ivi.
Mkuu ,me naeza sema ni upendo Kati yetu ,tusipotania tunaona kama tunaboeka,ww hujasikia Ile statement ""jirani Hana unga ,Hana stima anaongea kingereza kwenye Giza"".yaani kati ya watz wote mama Tu ndio ametuweza.[emoji1787]
kila moja anatoa maoni yake kuhusu hii issue na ni sawa ,everyone is entitled to his or her opinion and thats fine.lakini mm yngu ni ombi tu .waliyo kusanywa kwenye dala dala wanajijua, tunawaomba wakirudi nchini kwao ,hamna kufunga barabara kisa msafara wa rais.asanteni sana ni hilo tu.
me generally ni mpole na mkimya na unaweza ukaniweka kwenye hili kundi 100% lakini ukiingia kwenye kumi nane zangu kishari Shari mbona utanitoa kwenye hili kundi tena unitafutie kundi lingine.
inasikitisha sana mkuu sijui binadamu siku izi tumekuwa na roho ya ajabu aje,zaidi ya wanyama, ila malipo ni hapa hapa duniani na mungu is very fair ,if you kill by the sword you will die of it .
hakuna uhamiaji wasumbufu kama wa tz ,nimegundua hilo wakuu sijui wanamatatizo gani .sasa huyo mama serious she is not a threat to the nation, kwanin umhangaishe .doesn't make any sense .
very inhumane and barbaric shame on them.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.